Wizara ya afya acheni ukiritimba

Rosena

Member
Sep 11, 2012
51
4
Hii ni ajabu sana, hivi kustaafu maana yake nini. Ukifika wakati wa kusahihisha mitihani toka kwenye vyuo vya uuguzi, basi utakuta Wizara ya afya kitengo cha mafunzo ya uuguzi wanawaita wastaafu kibao kwenda kusahihisha mitihani hiyo ili wapate pesa. Hivi mmesikia kwamba wale waalimu walio vyuoni wanao fundisha wanafunzi hao wao hawataki hizo pesa? Acheni kufanya kazi kwa kunufaishana. Mnawavunja mioyo wanaomenyeka na kazi hizo halafu ninyi mnadaka pesa tu.
 
Hahaha ..pole sana mkuu Rosena.. ndio kujuana kwa sasa, BTW wizara ya Afya itakuwa ikitembelea tena hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH)..hii ni takribani mara ya tatu ndani ya mwezi mmoja...KULIKONI?
 
Back
Top Bottom