liverpool2012
Senior Member
- Apr 4, 2012
- 102
- 23
Naomba kuuliza hivi ni kweli wizara ya maliasili na utalii imekuwa na mawaziri 7 ktk miaka 7 ya utawala wa kikwete.
Kama nimemsikia kagasheki kasema saba wakati anakabidhiwa office ya mama mkwe alikupo pale.
"....Hapo pia mmemsahau Dialo, ndo waziri wa kwanza wa utalii wa Kikwete.
Imekuwa na mawaziri 4. Maghembe, Mwangunga, Maige na Kagasheki.
Dialo alitaka kuisafisha wizara akakutana na kigogo "Severe" aliyewekwa kwa makusudi maalumu ya kufisadi hifadhi zetu. Badala yake Dialo ndo aka "fyagiliwa" mbali baada ya muda mfupi!
Tuwaombee waliopewa hivi punde Balozi na Naibu wake wanyonge hao wadau maana wamesema wao hawatakubali kunyongwa bali watanyonga. Pengine panaweza pakawa pazuri ndugu zangu