Wizara mbili siku moja tu?

Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,597
1,005
Ktk kikao cha bunge kinachoendelea Dodoma leo ni wizara ya mazingira na wizara ya muungano. Cha kushangaza mwenyekiti wa bunge ametangaza kwamba watajadili leo na kuhitimisha leo leo! Je ni sawa jamani wizara mbili kujadiliwa kwa masaa manne tu?
 
Back
Top Bottom