Wivuuu....

YNNAH

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,702
969
Baba John aliona mkewe amepunguza mapenzi kwake,na hiyo yote ni baada ya mkewe kujifungua. Baba John akaamua kutafuta sumu ya kumuua mtoto.,akaamka mapema,akampaka mke wake sumu kwenye manyonyo ili mtoto akinyonya afe,akaondoka zake. Aliporudi baadae akakuta aliyekufa ni houseboy!!! Otea nini kilifuatia?
 
Kesi itaanzia hapo,kumbe hata mtoto sio wangu! idea yake imemsaidia kufahamu mengi!
 
Hahahahaha, binafsi nisingependa houseboy afe ili movie iendelee angeweka hata ya usingizi wa nusu kaputi.
 
Back
Top Bottom