Wivu!!!!

Nakubaliana na baadhi ya wadau kuwa Wivu una uhusiano na Upendo au Mapenzi, lakini ukweli ni kuwa si Wivu wote humaanisha upendo! Mtu mwenye wivu anaweza kukuonea wivu kwa sababu tu anaona wewe kuwa na kitu fulani au kuwa na uhusiano na mtu fulani (hata kama yeye hana mapenzi na huyo mtu) unafaidi. Ni hivyo tu .....
 
bila wivu hakuna upendo na bila upendo hakuna wivu.vyote vinategemeana.that is they depend on each other.i mean the existence of one variable lead to existence of the other.ie. the existence of love lead to existence of jealous without love no jealous and without jealous no love.

that ooooooooooooooooooooooooll
 
asante kwa mada yako nzuri inayofikirisha sana, mimi binafsi neno wivu huwa lina maana tofauti kabisa na jinsi ambavyo jamii hulichukuia kwamba ni kumpenda mpenzi wako kupitiliza, hapana, kwa mfano, ninapoona baahdi ya mienendo ya mpenzi wangu haiko katika misingi mizuri kama mahusiano ya kupitiliza na rafiki zangu na watu wengine suala ni kumrekebisha kwa manufaa yangu na yake pia kwa kumkanya ili kuepusha madhara, fedheha, na pengine aibu ambayo ingenipata baada ya yeye kugundulika kuwa na wapenzi ovyo ovyo na heshima kutoweka. so! kwangu wivu si kama nampendea sana no! bali namlinda na najilinda mwenyewe kwa mambo kibao hata magonjwa pia!!! ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom