Wivu wa kupindukia

Not really!....for resitance
Jealousy......Wnating an object for one self which belongs to ohters....Avoid jealousy and envy....try to feel joyful for others happynessy...create much good karma...if the mind is jealous youw ill feek very uncomfortable toward others...like your carying a heavy loads iny our mind.....

Laziness.....Being attached to temporary pleasure...Not wanting to do virtue or only little oppisite to deligence...This consists of hangind out all day doing nothing or gossiping with friends about other people...

Shem

Unapoint sana wewe mtoto wa kike, kwa kweli wenye chuki wacha tu wajinyonge tu.
 
Shem

Unapoint sana wewe mtoto wa kike, kwa kweli wenye chuki wacha tu wajinyonge tu.

Yeah jealousy inaweza ikakukosesha raha sana...ukawa unhappy person in your life...lonelly with no friends around you....even when you go to bed at night you even sleep with a cold heart and unhappy mind.....truly speaking jealousy may kill....
 
Kama vipi si amnunulie likufuli la chuma awe anafunga na funguo anabaki nazo hapo atakomesha mzee kumega nje itakuwa kwisheni ..
Hii ya kutoboa anatengeneza mazingira mazuri zaidi or may be she did that for the sake of ventilation.
 
Wadau jamaa yangu wa karibu kaniomba ushauri: Anasema memsahib wake ana wivu wa kupindukia,kafikia hatua sasa majuzi kachukua wembe katoboa toboa kufuli zote za mzee kisa eti eti aone aibu kwenda kwa vimwana na kufuli zenye matobo,na kamwambia ole wake azishone au kununua mpya. Kana kwamba hiyo haitoshi kila akirudi si ruksa kusalula bafuni shurti achojoe chumbani mbele ya bi mkubwa na inuswe kama ina harufu yoyote ya kifisadi!Wadau muungwana kaniomba ushauri nimwambie nini?

Kinachonipa shida ni hizo nguvu za kuchana kabati zangu anazitoa wapi,yaani nimenunua kwa pesa zangu halafu narudi nakuta umezichana,si unajitafutia mwenyewe kuwa uwanja wa mazoezi.Huo wivu na uputilize kwa kiasi chochote lakini si kwa kufikia hatua ya kuniharibia vitu vyangu.Huyo nina wasiwasi hata na uwezo wake wa kufikiri.
 
Makubwa madogo yana nafuu......... ya kutoboa tena si ndo wampa nafasi ya kuhudumiwa vyema na small house? akimaliza anaziacha huko huko. Miwivu mingine bana


mke kama huyu muda wote anamfikiria mume labda anafanya hiki au ameenda kule kufanya vicvyo, muwape na uhuru jamani mambo ya kukaba mpaka vivuli ya wapi hayo, kama wa kufanya atafanya tu, au anaenda nae ofcn na kumsubiri mpka atoke amrudishe home?....amfunge na kufuli kabisa hiyo naniliii laaa cvyo aache wivu wa kipumbavu, kwanini ajifie kwa presha?....kazi anayo! sasa akinusa aliambiwa ndio atapata jibu kama jamaa kaduu au laaa, nackia hacra kabisa....kwanini mtu ujikwaze kwa kulifikiria lijitu lizima kwa kiac hicho?
 
Aongeze mapigo, kama sasa hivi anampa moja, mbili a-double



some pipo bwana....yaani mnafikiria mapigo kwenye ndoa ndio kila kitu?..unaweza ukabinuka hata na kitanda au ukafanyia chini ya uvungu na juu ya paa na style zote lakini kama wa ku cheat ata cheat hadi kiama.
 
...............AKITHUBUTU KWANGU,she will go home tomorrow morning!no eksichuuz


Sidhani ni Wivu, it's more of being MAD, SHE'S MAD there are ways of sorting problems kama hizi but not kudhalilisha, to and extend ya kunuswa khaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
 
Makubwa madogo yana nafuu......... ya kutoboa tena si ndo wampa nafasi ya kuhudumiwa vyema na small house? akimaliza anaziacha huko huko. Miwivu mingine bana

Yaani hilo lijanamke jinga kweli. Mi akitoboa yangu ndo itakula kwake manake kanirahishia mambo. Hamna kusaula wala nini. Mjengo unapenyezwa kwenye tobo mojawapo shughuli inaendelea. Iwe kwenye motokaa au kwenye kichaka. Hahahahaha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom