Wivu wa Baba na Mama!

Hivi kweli vijana wangu waoe afu nimpende mkamwana? I dont think so.
Wanavyosumbua hivyo? Wanavyonipenda hivyo?

Afu kije kisista du kinipiku? Ntaua.
Huu ni ukweli mchungu sana kwa akina mama na ngumu kuukubali.
 
Mie huwa naona tu inakuwa huzuni kwa wazazi kuondokewa na mtoto wao..ila la wivu ndo nasikia shemeji,,
Ha ha haaa
Shemegi langu!
Sasa ukitazama kwa umakini katikati ya huzuni, especially ya baba, utagundua kitu cha ziada!
Nilihudhuria send-Off moja ambapo binti, alimfuata mchumba wake alipokaa, akamwinua na kuanza kumlambalamba mbele ya wazazi, hadi MC akasema "sijawaruhusu kuanzisha zoezi hilo"!
Mkuu, baba alikunja sura na nadhani kama ingekuwa ruksa angeondoka nje ya ukumbi!....huh!
 
Sidhani kama huwa ni ishu ya pesa sana
Ni picha jinsi binti yako atakavyogalagwaza na kijamaa walichokutana nacho hivi karibuni na kupoteza ule ukaribu kati ya mzazi na mtoto.
Unaona kabisa binti yako anatoka kwenye himaya yako na kwenda himaya nyingine na hata kubadili jina, inauma sana.

Wewe unabaki na picha taangu siku mnamuumba, hadi kilipozaliwa, then unashindwa kabisa kukubali ukweli.

Hii ni kweli kabisa.
Huyo kijana aliyekuchagua uwe mshenga yawezekana ni sharo ndo maana baba amemshtukia
 
Kiukweli,

Hata mie nna kawivu na tubinti twangu.

Atakayekuja kuniletea posa kwa binti zangu anapaswa awe kamili
. Nna mpango wa kumiliki AK47 muda si mrafu.
Mkubwa wa Tusker Special Malt,
Una maana gani?
Au unatunza risiti zote unazowasomeshea binti zako nini Mkuu, halafu unataka jamaa aje ahesabu gharama?!
 
Tubagain basi
Ila unipe mahari weye
Nina vijana wa kutosha huku kwangu.

Smart kama mama/baba yao
Kiukweli,

Hata mie nna kawivu na tubinti twangu.

Atakayekuja kuniletea posa kwa binti zangu anapaswa awe kamili. Nna mpango wa kumiliki AK47 muda si mrafu.
 
Hivi kweli vijana wangu waoe afu nimpende mkamwana? I dont think so.
Wanavyosumbua hivyo? Wanavyonipenda hivyo?

Na wanasema marufuku mama mkwe kuja kuja nyumbani hapa kama unamatatizo yatatuliwa huko huko
Mabinti wakiolewa wengi wanabadilika sana tofauti na wanaume wakioa
 
Atakayekuja kuniletea posa kwa binti zangu anapaswa awe kamili. Nna mpango wa kumiliki AK47 muda si mrafu.

Unajisikiaje binti yako anaolewa na mpiga debe
chakula, kodi ya nyumba binti anategemea kwako haishi kuja kulia kuomba msaada unajisikiaje hiyo?
 
Ni kweli kabisa, haya mambo yamewahi tokea kwa mtu wangu wa karibu kabisa.
Baba wa binti alikataa kata kata kupokea uchumba kwa sababu zisizo na msingi.
Baada ya jamaa kusubiri kama mwaka mzima, ikabidi amtoroshe binti na kumuoa kwa nguvu baadae ndo wakahalalisha.
Nilivyoaccess ile situation sababu kubwa ilikuwa,
1. Baba alikuwa kiwembe sana, alikuwa anareflect tabia yake kwa kijana aliyetaka kumuoa binti yake.
Mwanamme akiwa mhuni sana, haamini kama kuna mwanamme mwingine dunuani mwaminifu au anayeweza kuishi na mke kwa furaha. (Anajaribu kumlindwa kwa kitu kisocho hatari)

2. Baba wengine wana wivu usio na kichwa wala miguu kwa watoto wao, anataka kumlinda hadi siku anaingia kaburini bila sababu ya msingi.
3. Dini ilikuwa tofauti
4. Race, kijana alikuwa mwarabu na binti mswahili so ni kama hakuwa confortable na mwanae kwenda kule.

Thanks Kongosho kwa kufatilia kwenye grassroot!
Off-records, hiyo Namba 4 huenda ilimwogopesha zaidi mzee!
 
Mkubwa,
Nina maana ni mtamu kumtazama....si zaidi ya hapo broda, after all mimi ni mshenga kwenye ishu hiyo!

Hapo sawa mkuu najua "macho ndio yanaongea" Wakina mama wengi mabinti zao wakishakuwa wakubwa, mara nyingi hawawataki kwenye majumba wanataka wakaanze maisha yao, wanaona kama wanabanwa vile!

Sasa pindi atakapotokea mtu wa kutaka kuoa, wao ndio wa kwanza bila kuchunguza wala vikwazo, hata kama anaetaka kuoa ni mzee..! au mbeba zege! yeye kwake ni poa tu...! anaogopa asije kuwa muhuni au kuzalia nyumbani na mambo kama hayo.

Ndipo hapo msimamo wa baba pia unapojitokeza, Baba kama yuko hai hawezi hata siku moja akakubali binti yake aolewe na mwanamme umri kama wake, labda asiwe mjini.

Pia hataki mwanae apate tabu ya maisha na mambo mengi ya wanaume kama AshaDii alivyoeleza....!
Baba kwa upande wa mtoto wa kiume akishafikia umri wa kuoa anaona bora asepe mbele kwa mbele akajitafutie ki vyake kwani mafahari wawili hawawezi kukaa zizi moja.
 
Hivi kweli vijana wangu waoe afu nimpende mkamwana? I dont think so.
Wanavyosumbua hivyo? Wanavyonipenda hivyo?

Afu kije kisista du kinipiku? Ntaua.
Huu ni ukweli mchungu sana kwa akina mama na ngumu kuukubali.
This is a matter more serious than tunavyofikiri!
Hivi kuna anaejua kutokuelewana kati ya binti na Mama mkwe wake kuna asili gani?
Basi hii ya Kongosho ndiyo chanzo kikuu!...actually hakuna sababu maalum, ni imaginations na wivu tu!
 
Kwa hiyo mshenga umeshindwa kumshawishi huyo dingi apokee mahari mbebe jumla huyo dada mtamu?
 
Hapo sawa mkuu najua "macho ndio yanaongea" Wakina mama wengi mabinti zao wakishakuwa wakubwa, mara nyingi hawawataki kwenye majumba wanataka wakaanze maisha yao, wanaona kama wanabanwa vile!

Sasa pindi atakapotokea mtu wa kutaka kuoa, wao ndio wa kwanza bila kuchunguza wala vikwazo, hata kama anaetaka kuoa ni mzee..! au mbeba zege! yeye kwake ni poa tu...! anaogopa asije kuwa muhuni au kuzalia nyumbani na mambo kama hayo.

Ndipo hapo msimamo wa baba pia unapojitokeza, Baba kama yuko hai hawezi hata siku moja akakubali binti yake aolewe na mwanamme umri kama wake, labda asiwe mjini.

Pia hataki mwanae apate tabu ya maisha na mambo mengi ya wanaume kama AshaDii alivyoeleza....!
Baba kwa upande wa mtoto wa kiume akishafikia umri wa kuoa anaona bora asepe mbele kwa mbele akajitafutie ki vyake kwani mafahari wawili hawawezi kukaa zizi moja.
Mkuu,
Umeleta kionjo na pwenti mpya katika diskashen hii!
Kumbe akina mama wanaona mabinti zao wakikua wanaweka kiwingu fulani...du, hii kali!
Na ni kweli, kama binti akishafikia umri wa kuolewa na akawepo bado nyumbani kwa wazazi, kuna uwezekano mkubwa wa kuleta mjukuu hapohapo ndani, na MAMA anaelewa wazi kuwa in case ikitokea hivyo yeye atahusika vilivyo kulea mwana huyo, na atakuwa part ya lawama zitokazo kwa baba!
 
binti, alimfuata mchumba wake alipokaa, akamwinua na kuanza kumlambalamba mbele ya wazazi, hadi MC akasema "sijawaruhusu kuanzisha zoezi hilo"!
Hapo mkuu uvumilivu ni ziro kwangu nasepa mzima mzima na sitaki tena akanyage kwangu akamtafute babaake!

Alafu wanalambanalambana hivyo siku mbili tatu, wananipigia hodi wanaomba msaada.....! nyoooo! sitoi kitu.

Unajisikiaje binti yako anaolewa na mpiga debe
chakula, kodi ya nyumba binti anategemea kwako haishi kuja kulia kuomba msaada unajisikiaje hiyo?
Broda,
Hapo sasa unaongelea mambo ya UWEZO zaidi!...japokuwa napenda nikutahadharishe kuwa usiombe binti yako akampenda mpiga debe, maana wanawapendaga haswa, sijui wale vijana Makonda na wapiga debe wana sumaku gani! Nina incidence ambayo binti wa form 4 alimpenda mpiga debe hadi kufukuzwa kwao na akaenda kwa huyo jamaa, kuishi. Matokeo yalivyotoka binti amefaulu njema kabisa!...Ilibidi wazazi wafanye negotiations kiutu uzima, na hatimaye binti alikubali kumwacha jamaa kwa muda akasepa kwenda A-Level Kilakala!
 
Mkubwa wa Tusker Special Malt,
Una maana gani?
Au unatunza risiti zote unazowasomeshea binti zako nini Mkuu, halafu unataka jamaa aje ahesabu gharama?!
Hahahaha...si hivyo mkuu wa TDL...

Ishu ni kwamba aje kwa nidhamu. Siyo eti kudadadeki kaja na msuruwale wake kafungia kwenye mas.aburi sijui kasuka nywele na kutoga masikio anabisha hodi eti analeta posa kwa Matesha wangu.

Pambaf zake!!
 
Broda,
Hapo sasa unaongelea mambo ya UWEZO zaidi!...japokuwa napenda nikutahadharishe kuwa usiombe binti yako akampenda mpiga debe, maana wanawapendaga haswa, sijui wale vijana Makonda na wapiga debe wana sumaku gani! Nina incidence ambayo binti wa form 4 alimpenda mpiga debe hadi kufukuzwa kwao na akaenda kwa huyo jamaa, kuishi. Matokeo yalivyotoka binti amefaulu njema kabisa!...Ilibidi wazazi wafanye negotiations kiutu uzima, na hatimaye binti alikubali kumwacha jamaa kwa muda akasepa kwenda A-Level Kilakala!

Wale jamaa nasikia usiombe watembee na mke wako wanajua sana ngono si wanavuta bange na poda sasa wanakuwa na pumnzi sana kwenye swala zima la 6 kwa 6
 
Hapo mkuu uvumilivu ni ziro kwangu nasepa mzima mzima na sitaki tena akanyage kwangu akamtafute babaake!

Alafu wanalambanalambana hivyo siku mbili tatu, wananipigia hodi wanaomba msaada.....! nyoooo! sitoi kitu.

Mkuu,
Ukila Mahari ya mtu unategemea nini?..Thats the PRICE of accepting the bride Price!...kuwa mpole na utulize jazba, vinginevyo utaanguka kwa presha!
Ishu ni kwamba uone au usione, anafanyiwa vituko tu!
Kumbe mko wengi wenye mawivu sana na mabinti zenu hapa ndani!...huh!
 
PJ
Habari mkuu,
Wanaume wengi huwaonea huruma mabinti zao! Fikiria wazee wetu utakuta wako kwa mromboo na vibinti na wakutana na akina jamaa hawa waoaji. Wanakuona ulivyo kimwaga. Kila akienda pale anakukuta na binti tofauti! Asikutilie Shaka kuwa we hufai. Ndege wafananao huruka pamoja! Wanaume wanajua vile wengi wetu tulivyo! Same applied kwa wamama! We kaa nao watakwambia Aah yule hapana, keshaharibu mimba mara kadhaa! Saa nyingine ni uwongo tu imetokea hampendi tu kisa alimwona pahali na kavulana! Saa ingine wana hofu tu ya kutokupata zile zawadi walizozoea kuzipata toka watoto wao wa kiume!
 
Tubagain basi
Ila unipe mahari weye
Nina vijana wa kutosha huku kwangu.

Smart kama mama/baba yao
Wanao walivyo wakware nani atawaruhusu waisogelee nyumba ya ODM?

attachment.php
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom