Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,223
Ni kweli Loreen,sasa tufanye nini ili tuepukane na maumivu yanayotokana na wivu ili tusifanye maamuzi mabaya?ni kweli mtoa mada!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli Loreen,sasa tufanye nini ili tuepukane na maumivu yanayotokana na wivu ili tusifanye maamuzi mabaya?ni kweli mtoa mada!
Inawezekana hayo yote na pia inawezekana ni hisia zako zinakutuma,unaweza ukajiamini but huoni ukijiaminiKwanza jiulize ni kitu gani kinakufanya umuonee wivu?
Anazungumza na watu wengine wa jinsia tafauti?
Unaelewa uhusiano wake na hao anaozungumza nao?
Wewe je, una uhusiano na watu hao? Ikiwa ndio, huwaamini
au unahisi mwenzako anakusaliti?
Kwa upande wako, wewe hufanyi anayofanya yeye?
Ikiwa unafanya hayo hayo, kwa nini basi "anye kuku tu
bata akinya uchafu?
Dawa ya kutooana au kupunza wivu:
Jiamini na mwamini mwenzako!
Usitende usilotka utendewe!
Kila mtu hana hatia mpaka itakapothibitika kuwa ni mkosaji.
hivi BP(presha) ina tiba?Wivu ni moja ya hisia za kiasili za kibinadamu. Huwezi ukazuia vitu au mambo asilia. Kama huwezi kujizuia kuny.a au kukojoa baada ya kula au kunywa, basi hutaweza kujizuia kusikia wivu kwa yule uliye na hisia za mapenzi kwake.
tatizo unajikuta umefanya maamuzi mabayaWivu lazima utakuwepo kwa namna moja au nyingine, akili yako ujuwe kuitumia vizuri tu pale umeona wivu.
hivi BP(presha) ina tiba?
Ila wivu kuepukana nao ni ngumu sana,na isitoshe mwingine anakutia wivu ili ajue kiasi gani unampendaKuna wivu mzuri na mbaya, wivu mzuri ni ule ambao lengo lake kuu ni kulinda heshima na utamu wa mapenzi yenu. Sasa ili kuepuka wivu huo kufikia hatua ya kuonekana ni hatari inabidi uwe na uvumilivu mkubwa na mwenye busara iliyotulia.
ndo naelekea huko,ila nadhani kama BP ina dawa basi wivu una dawa piaKaulize JF Doctor.
Hivi kuna namna ya kuzuia usipatwe na wivu wa mapenzi?unapokuwa na wivu wa kimapenzi kwa mtu ni
dalili ya kuwa unampenda mtu,sidhani kama utakuwa na wivu kama hujampenda mtu.Wivu husababisha
mtu kufanya maamuzi mabaya ambayo yanaathari na anaweza kujutia baadaye....hebu tusaidiane kama
kuna namna au jinsi ya kutibu wivu au kujiepusha na wivu.
Unakusudia kusema unataka kumlinda mwenzako?Inawezekana hayo yote na pia inawezekana ni hisia zako zinakutuma,unaweza ukajiamini but huoni ukijiamini utakuwa umetoa mwanya wa yeye kutumia ?
Tazama point yangu nyuma nimesema nini ujuwe tu kutumia akili.....Si ndo siku zote ukitaka kumjua mtu ana akili nzuri utamjua pale yuko kwenye mahamaki yake au Mawivu yake akijua namna ya kuyacontrol mahamaki/ mawivu basi ujuwe kisha pass hapo katika maisha yake :biggrin:tatizo unajikuta umefanya maamuzi mabaya
Ila wivu kuepukana nao ni ngumu sana,na isitoshe mwingine anakutia wivu ili ajue kiasi gani unampenda
hivi BP(presha) ina tiba?
dah mi sina BP hata kidogo.....ila nina wivu wa kutoshaDuh......best tayari unayo nini? inatibika kwa kuepusha uchungu mkali ndani ya moyo, mi si doc lakini siamini kama kuna dawa ya hosp au kikombe inaweza tibu hii kitu ila ni wewe kuwa na huru mda wote.
daaah basi usiwe unanitia wivuNdo maana nikatangulia kusema inahitaji uvumilivu na busara nyingi kuweza kuushinda, kwanza jikubali kuwa sasa uko ktk wivu mkali, tulia na ujiulize je mtazamo wako juu ya hali au mambo yanayopelekea hisia hizo yatajenga au kubomoa uhusiano wenu? Angalia mambo ambayo mpaka wakati huo vimekuonyesha kuwa mpenzi wako anakupenda na kukuthamini na ni vigumu kukusaliti angalia mazuri usitafute mabaya. Kama utaona kuwa mwenendo fulani au tabia fulani husababisha hali ya wivu jitahidi kubadilika.
dah mi sina BP hata kidogo.....ila nina wivu wa kutosha