Wito wa mapokezi ya kichama wa rais kutoka Uingereza

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Jamani wananchi tujitokezeni kwa wingi kila mara mpendwa mtukufu rais wetu arudipo tukampokee uwanja wa ndege kwa wingi wetu.
Tumejaribu, tumeweza na tunasonga mbele.
 
Kwa uwezo wa akili yangu, nimejifunza kwamba wewe ni mwanaharakati wa ukweli. Atakayekusoma katikati ya mistari atayajua haya ima mwenye haraka atakuona ccm damu. Kuna vitu viwili 'ujinga' na 'kebehi', wewe unacho chako hapo, mwenye busara na subira na afahamu maneno yangu.

kwa tangazo hili hutompata mtu hata mmoja.
Kwa ushauri wa haraka:
gaweni elfu tano tano kwa wale mliozoea kuwagawia,
gaweni t.shirt,kofia na kanga kwa wale mliozowea kuwagawia,
pakieni kwenye mafuso wale wote mliozea kuwapakia,
Baada ya hapo Jk atakuwa kapolewa kwa kishindo kikubwa kama unavyotarajia.

NB. msiasahau kutoa ahadi ya ubwabwa.
 
Rais Jakaya si kama hao Wanasiasa uchwara ambao wanajitafutia umaarufu kwa maandamano na mikutano na waandishi wa habari. Jk YUKO kikazi zaidi. Kazi kwanza majungu baadaye.
 
kwa kweli yuko busy na safari za kimataifa zaidi kuliko hayo mengine
 
Jamani wananchi tujitokezeni kwa wingi kila mara mpendwa mtukufu rais wetu arudipo tukampokee uwanja wa ndege kwa wingi wetu.
Tumejaribu, tumeweza na tunasonga mbele.

Kampokeeni jamani,Anakuja na knowledge ya jinsi ya kuzaliana kwa mahesabu!
 
kwa tangazo hili hutompata mtu hata mmoja.
Kwa ushauri wa haraka:
gaweni elfu tano tano kwa wale mliozoea kuwagawia,
gaweni t.shirt,kofia na kanga kwa wale mliozowea kuwagawia,
pakieni kwenye mafuso wale wote mliozea kuwapakia,
Baada ya hapo Jk atakuwa kapolewa kwa kishindo kikubwa kama unavyotarajia.

NB. msiasahau kutoa ahadi ya ubwabwa.

Wasisahau na Kikundi cha TMK bendi na magitaa yao chakavu
 
Kwa uwezo wa akili yangu, nimejifunza kwamba wewe ni mwanaharakati wa ukweli. Atakayekusoma katikati ya mistari atayajua haya ima mwenye haraka atakuona ccm damu. Kuna vitu viwili 'ujinga' na 'kebehi', wewe unacho chako hapo, mwenye busara na subira na afahamu maneno yangu.

Mkuu wewe great thinker trust me! Yaani hapa JF watu hamnazo kabisa wanajiita great thinker bure kabisa they can see but can't read between lines wanataka uandike kitu hata mtoto wa darasa la saba anakielewa, wanataka uweke mambo kama gazeti la kiu au ijumaa hopeless. Asante nadhani naanza kupata audience umefanya philosophy??
 
matonya atapokelewa na matonya wenzake. Hatuna muda mchafu. Bora kumpokea dr. Uli siku akipona.
 
Kwanini wanajamvi hamtaki kumuelewa mtoa mada? Kwani watakaokwenda kumpokea kabla hawajafika majumbani mwao kutoka kumpokea, watasikia jamaa keshanyanyua kaenda nchi nyingine, itabidi wajiandae kwenda kumpokea tena, and so The Filthy cycle goes on and on!
 
Back
Top Bottom