Wito wa Bunge: Tuilaani serikali hii! Tuanze na nani?

Siao

Member
Jan 4, 2008
96
3
Kama wabunge wanaona Serikali inapaswa kulaaniwa, basi walishalaaniwa siku nyingi...au imeonewa?
Hata hivyo laana isiyokuwa na sababu haimfiki mtu?

Labda tujadi pia hapa kidogo kuwa ni kosa gani hilo viongozi wamefanya mpaka wafikie kulaaniwa? Tukiongea tu kugeneralize mikataba mibovu naona tumefanya hivyo urefu bila kufikia lengo, Naona tukitaja moja kwa moja ujumbe unawafika.

Hata hivyo naona ile serikali ya muheshimiwa imetuuza moja kwa moja. Best naona upeo pia nimdogo, hivyo kila kitu ni kigumu.

Ikiwa urais ni kama anavyofanya, nifikiria mimi naweza kuwa katibu wa UN, kwani hata yeye huyo wa UN ni nini kikubwa anafanya.

Utashindwaje kusema Ticks sasa basi, nani sasa atasema? utashindwaje kusema wewe waziri sasa basi? si ndio kazi hiyo jamani? au..! nisaidieni tu kwa upole hapa, kam nimeshindwa kuvumilia nina hasira.

Haya sasa mawaziri wanalaaniwa, wakisiema sio wao wamesababisha, itamwangukia nani?

Tunapoanza kulaani kama ulivyo wito wa bunge tuanze nani?
 
Back
Top Bottom