Wito:Utaratibu wa Kutangaza nia,Uchumba na Ndoa hapa Jamvini!!

Katika kila jambo ushahidi ni muhimu,mkinipa ushahidi kuwa hafai mkaweka na source hapana shida atatolewa tu, ila na ninyi mmetumia vigeznw gani kujichagua!?? au ndo mnataka muanzishe uhusiano kinyume na mashart ya kamati!??

Hawa waliojichagua na mimi mmh!
Incase ndiyo wachaguliwe huyo Sweetlady atapona ?
Sio biashara ya kwenda kuficha nyama kwenye banda la Mbwa ?
 
nyie ndo mnakwenda kunyume na maadali,
hebu leteni majina yenu kwanza,
ikibidi lazima tuwe na sanduku la mchango kwa ajili ya
kupata motisha zaidi ya kufanya hii kazi.

pia pingamizi litakuwepo pale inapobidi.

Mpenzi wangu Ronn M uko wapi dear?Nimekumiss sana mpenzi tangu tulipoachana hasubui xmu yako haipaitakani mwenzio naumwa na wasiwasi.
 
halafu Baba V hajanitaja kwenye hii tume....kwanza mi nna wasiwasi wa uhalali wa hii tume. vigezo gani vimetumika kuwateua hawa wajumbe? mbona hata mpenzi wangu charminglady hayumo kama kweli mnampenda mpaka hamtaki mimi na yeye tufunge pingu za milele? naomba ufafanuzi wa hayo
 
Last edited by a moderator:
nyie ndo mnakwenda kunyume na maadali,
hebu leteni majina yenu kwanza,
ikibidi lazima tuwe na sanduku la mchango kwa ajili ya
kupata motisha zaidi ya kufanya hii kazi.

pia pingamizi litakuwepo pale inapobidi.
He tumevunja maadili gani tena ?Majina na pingamizi za nini?Naadhani Padre Baba V ameeleza vizuri hapo juu kwamba kila kitu tumemaliza yamebaki manung'uniko
 
Wanaojichagua inabidi wachunguzwe na kamati kwanza,
hasa hawa wenye majina tamu ndo ERICKB52 ana aleji nao,
sijui kazi itakuwaje hapa.

Hawa waliojichagua na mimi mmh!
Incase ndiyo wachaguliwe huyo Sweetlady atapona ?
Sio biashara ya kwenda kuficha nyama kwenye banda la Mbwa ?
 
Katika kila jambo ushahidi ni muhimu,mkinipa ushahidi kuwa hafai mkaweka na source hapana shida atatolewa tu, ila na ninyi mmetumia vigeznw gani kujichagua!?? au ndo mnataka muanzishe uhusiano kinyume na mashart ya kamati!??
Baba V achana na majungu ya hawa jamaa zako..hawana lolote fitina tu
tena huyu sweetlady ndo kinara akifuatana na BAGAH
 
Last edited by a moderator:
hata majina yenu yamekaa kama kifamilia moja,
lazima masharti yazingatiwe,
BabaV mwenyewe yalimshinda ndo maana ameomba msaada.

He tumevunja maadili gani tena ?Majina na pingamizi za nini?Naadhani Padre Baba V ameeleza vizuri hapo juu kwamba kila kitu tumemaliza yamebaki manung'uniko
 
zaidi ya mke mmoja lakini ni lazima wote ukae nao nyumba moja,
zaidi ya hapo ombi la ndoa linaweza kukataliwa.

Na sisi ambao ni maustaadhi tunaruhusiwa zaidi ya mke mmoja itakuwaje mkuu, unataka kutubania wakati kuna maandiko yametupa shavu
 
MtotoSix na charminglady mligundulika kuwa nyie ni wana ndugu,
baba ni mmoja ila mama ndo mbalimbali. hata hivyo msingeweza kuwa kwenye tume
kutokana na maadili yenu kusua sua.

halafu Baba V hajanitaja kwenye hii tume....kwanza mi nna wasiwasi wa uhalali wa hii tume. vigezo gani vimetumika kuwateua hawa wajumbe? mbona hata mpenzi wangu charminglady hayumo kama kweli mnampenda mpaka hamtaki mimi na yeye tufunge pingu za milele? naomba ufafanuzi wa hayo
 
mtoa mada hajakosea,
ndugu wa karibu walileta ushahidi kuwa nyie ni familia moja,
hapa tunamsaka Kongosho arudishe michango yetu,
tena mwambie ole wake akimbilie ethiopia kwenye msiba kabla ya kurudisha hiyo hela.

nipo my dia, nashangaa kuona mtoa mada anasema kuwa ndoa yangu na MtotoSix ndo chanzo cha huu uzi!
 
mtoa mada hajakosea,
ndugu wa karibu walileta ushahidi kuwa nyie ni familia moja,
hapa tunamsaka Kongosho arudishe michango yetu,
tena mwambie ole wake akimbilie ethiopia kwenye msiba kabla ya kurudisha hiyo hela.

ma mkubwa, kwa mujibu wa my lawyer ruttashobolwa, mlalamikaji hakuwa na evidence so shauri lake lilitupiliwa mbali. . . .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom