Wito: Tujiondoe CHADEMA

Imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno CHADEMA.Hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa mustakabali wa taifa letu,kwani pale ambapo CHADEMA itafanikiwa kuchukua dola,itakumbana na wakati mgumu kwani imezoea kujiona sahihi wakati wote.

Mbaya zaidi wengi wa mashabiki ni wale wasio hata na kadi ya chama,nao wanajiita wana CHADEMA.

Jambo la msingi kukumbushana ni kuwa sisi ni watanzania.Nawasihi mashabiki wa CHADEMA ni bora wakajiondoa CHADEMA na kujiona kama watanzania neutral ambao watashabikia maslahi ya taifa,na chama kinacho yatekeleza ndicho kiungwe mkono.
Hii itawawezesha kuikosoa chadema pale inapo kosea,na hivyo CHADEMA itakuwa imara na kupata nguvu zaidi.

TANZANIA:Nakupenda sana.

Mimi nadhani he has a good point, tatizo pengine ni jinsi alivyo craft his argument, especially the title;
 
Tuta iunga mkono CDM mpaka wakoloni weusi watakapo achia nchi yetu, mambo mengine tuta rekebisha huko mbeleni.
 
Mkuu mtu wenu si nimekwambia angalia sasa matusi hii ndio sera yao Matusi Kashfa ndio walivyofundishwa na Slaa

Sote tunapaswa kutambua kwamba JF ni jukwaa la GREAT THINKERS Nakerwa sana na wote wanaotukana badala ya kutoa hoja. wanadhani matusi ndo busara. Wote wanaotukana kwenye jukwaa hill ni dalili kuwa hawana elimu :flypig:
 
Imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno CHADEMA.Hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa mustakabali wa taifa letu,kwani pale ambapo CHADEMA itafanikiwa kuchukua dola,itakumbana na wakati mgumu kwani imezoea kujiona sahihi wakati wote.

Mbaya zaidi wengi wa mashabiki ni wale wasio hata na kadi ya chama,nao wanajiita wana CHADEMA.

Jambo la msingi kukumbushana ni kuwa sisi ni watanzania.Nawasihi mashabiki wa CHADEMA ni bora wakajiondoa CHADEMA na kujiona kama watanzania neutral ambao watashabikia maslahi ya taifa,na chama kinacho yatekeleza ndicho kiungwe mkono.
Hii itawawezesha kuikosoa chadema pale inapo kosea,na hivyo CHADEMA itakuwa imara na kupata nguvu zaidi.

TANZANIA:Nakupenda sana.

nasikia unatumia kichwa chako si kufikiri bali kufugia nywele
 
Tumekosoa kwa kusema bayana, yako wapi maisha bora kwa kila mtanzania? viko wapi viwanda vya tanzania, rites walitupatia faida kiasi gani tulipowabinafsishia reli yetu ambayo wengi tuliukataa mpango huo!!!! Ni nini ANBEN, kiwira kilirudishwa serikalini baada ya kupewa nani!!! twiga walipandaje ndege pale kia, imekwenda wapi NMC yetu, tunalia machozi kiwanda chetu cha kusafishia mafuta (tipper) hatunacho tena, general tire kwishney, Nembo ya twiga mnyoge kwenye ndege zetu za ATC imebaki simulizi, wapi sukita, vijiji vya ujamaa vilivyotugharimu sana kuvianzisha vinagawiwa wazi eti wawekezaji, nchini kwetu kuna machimbo ya dhahabu mengi sana lakini benki kuu hatuna hata gramu moja ya dhahabu, tanzanite si yetu ingawa inapatikana tanzania pekee, tumewamaliza faru, jk ananunua faru nje ya nchi kisha anamuwinda kijangili, epa, richmond, iptl, simbion,

msszzhzs, muone kichwa kama mkukuta, mimacho imekutoka kama mkurabita!!!

Kukosoa kuhusu hayo yote ni vema,lakini kumbuka kwa mfano Zitto Kabwe alipoingia katika orodha ya watoa rushwa bungeni,wana CHADEMA wangapi walikuwa tayari kuhoji kupewa ukweli kuhusu hili?
Kuna kipindi zilizuka tuhuma humu kuwa Dr Slaa anatumia posho kubwa sana kwa ajili ya mchumba wake na mtoto wake{Junior};tuhuma ambazo Dr Slaa mwenyewe alikiri kuwa ni kweli.
Wana CHADEMA wengi waliishia kutukana tu waleta hoja bila kumbana seriously Dr ku validate matumizi mabaya ya pesa za chama!
Hapa ndipo nashawishika kuhimiza ushabiki makini kwa vyama vyetu kwa ajili ya manufaa ya vyama vyenyewe na taifa.
 
jiondoe kwanza wewe na familia yako,mimi binafsi naona kuna sehemu kinakosea lakini pamoja na ubovu huo bado ni nafuu kulinganisha na ccm.ila ninachoamini mimi ni kwamba ikiwa cdm itafanikiwa siku moja kuingia madarakani halafu ikavurunda tutakuwa tunaweza kuiondosha.kwa sababu tayari watz tutakuwa na uwezo wa kufanya mabadiliko kitu ambacho kwa miaka mingi tumeshindwa.iacheni chadema itambe siku yake ya kufa ikifika itajifia tu lakini kwa sasa hameni kwanza nyinyi japo hamjajiunga bado.
 
kama ungekuwa na hoja ungesema ''Tujitoe kwenye vyama visivyojihusisha na maslahi ya taifa'' hapo kidogo ningekuelewa lakini kwa kuwa umetaja jina la chama kimoja tu,inaonekana wewe ni fisadi au una undugu na wale wenye mabilioni Uswis.
Kuhusu madhaifu ni kweli kila mtu anayo madhaifu halikadhalika vyama vyote vina mapungufu lakini imaandikwa wapi kwamba miaka yote tuvumilie mapungufu ya ccm? Tumeichoka ccm tunataka mabadiliko,kuna hoja dhaifu zinatolewa kuwa uongozi wa nchi sio wa kufanyia majaribio,ccm kupitia kiongozi wake yaani rais wa nchi amefanya majaribio ya mawaziri mara kibao mpaka waziri mkuu,hiyo ni njia tosha kwamba kumbe tunaweza kufanya majaribio kwa kuchangua chama kingine ,nacho kikishindwa kazi tunaweka kingine ndo maana tuna uchaguzi kila baada ya miaka 5.
 
Imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno CHADEMA.Hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa mustakabali wa taifa letu,kwani pale ambapo CHADEMA itafanikiwa kuchukua dola,itakumbana na wakati mgumu kwani imezoea kujiona sahihi wakati wote.

Mbaya zaidi wengi wa mashabiki ni wale wasio hata na kadi ya chama,nao wanajiita wana CHADEMA.

Jambo la msingi kukumbushana ni kuwa sisi ni watanzania.Nawasihi mashabiki wa CHADEMA ni bora wakajiondoa CHADEMA na kujiona kama watanzania neutral ambao watashabikia maslahi ya taifa,na chama kinacho yatekeleza ndicho kiungwe mkono.
Hii itawawezesha kuikosoa chadema pale inapo kosea,na hivyo CHADEMA itakuwa imara na kupata nguvu zaidi.

TANZANIA:Nakupenda sana.
ukosawa mimi nakuunga mkono, waache ushabiki wakuishabikia tu chadema badalayake wa angalie vitu vyamsigi ambavyo chadema wanavifanya kwa maslahi ya taifa letu na kuangalia wapi ambapo chadema wanakwenda kinyume nasela ya katiba ya nchi... pia kuwashauri pale wanapokosea nasi kushabikia tu.... hiyo ndiyo itakayoleta heshima kubwa kwa chadema katika kupambana na changamoto za uchaguzi huo ujao wa mwaka 2015... kila laheli chadema epkeni kushabikia migogolo isiyokuwa na msingi bali muwe chombo cha usuruhishi wa migogolo katika nchi yetu Tanzania.

imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno chadema.hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa mustakabali wa taifa letu,kwani pale ambapo chadema itafanikiwa kuchukua dola,itakumbana na wakati mgumu kwani imezoea kujiona sahihi wakati wote.

Mbaya zaidi wengi wa mashabiki ni wale wasio hata na kadi ya chama,nao wanajiita wana chadema.

Jambo la msingi kukumbushana ni kuwa sisi ni watanzania.nawasihi mashabiki wa chadema ni bora wakajiondoa chadema na kujiona kama watanzania neutral ambao watashabikia maslahi ya taifa,na chama kinacho yatekeleza ndicho kiungwe mkono.
Hii itawawezesha kuikosoa chadema pale inapo kosea,na hivyo chadema itakuwa imara na kupata nguvu zaidi.

Tanzania:nakupenda sana.

...safi mkuu vijana hawajui wanakalia kupiga kelele tu, watafute details za kenya ilivyokuwa wakati wa moi na sasa ndo watapata jibu
 
ukosawa mimi nakuunga mkono, waache ushabiki wakuishabikia tu chadema badalayake wa angalie vitu vyamsigi ambavyo chadema wanavifanya kwa maslahi ya taifa letu na kuangalia wapi ambapo chadema wanakwenda kinyume nasela ya katiba ya nchi... pia kuwashauri pale wanapokosea nasi kushabikia tu.... hiyo ndiyo itakayoleta heshima kubwa kwa chadema katika kupambana na changamoto za uchaguzi huo ujao wa mwaka 2015... kila laheli chadema epkeni kushabikia migogolo isiyokuwa na msingi bali muwe chombo cha usuruhishi wa migogolo katika nchi yetu Tanzania.

Mtu wenu says thanks for this very useful post
 
Imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno CHADEMA.Hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa mustakabali wa taifa letu,kwani pale ambapo CHADEMA itafanikiwa kuchukua dola,itakumbana na wakati mgumu kwani imezoea kujiona sahihi wakati wote.

Mbaya zaidi wengi wa mashabiki ni wale wasio hata na kadi ya chama,nao wanajiita wana CHADEMA.

Jambo la msingi kukumbushana ni kuwa sisi ni watanzania.Nawasihi mashabiki wa CHADEMA ni bora wakajiondoa CHADEMA na kujiona kama watanzania neutral ambao watashabikia maslahi ya taifa,na chama kinacho yatekeleza ndicho kiungwe mkono.
Hii itawawezesha kuikosoa chadema pale inapo kosea,na hivyo CHADEMA itakuwa imara na kupata nguvu zaidi.

TANZANIA:Nakupenda sana.

kwani lazima mtu kuwa na kadi ya chama husika ndio kujiita wa chama hicho? ikiwa itikadi ya chama hicho inaendana na itikadi yake anaweza tu kujiita wa chama hicho.
ni kama wale wajiitao sisi arsenal tumeshinda kwani wao ndio wachezaji au wanaubia nao
 
hii inaonyesha ni kwa jinsi gani ccm imechoka kuhamasisha wanachama wake wanapigwa bao na cdm.msijidanganye heti ni ushabiki! majibu mtayapata 2015.:fish2:
 
umeongea point nzuri sana imefikia point mtu anashindwa kutofautisha uzalendo na uchama.
 
Tulikwisha chelewa kuwashauri vijana. sasa hivi, is too late. Vijana hawaambiliki, wala hawashauriki juu ya chama chao. Nakushauri, usioweza kuukata, ulambe. Hakuna jinsi, jiunge nao. hata kama hupendi, jilazimishe upende, ili usiumize roho yako,
 
Ni pamoja nao mkuu...though sifanyi ushabiki usio na macho wala masikio!
Penye pongezi nawapa,na penye haja ya kukosoa sisiti kufanya hivyo.
 
Imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno CHADEMA.Hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa mustakabali wa taifa letu,kwani pale ambapo CHADEMA itafanikiwa kuchukua dola,itakumbana na wakati mgumu kwani imezoea kujiona sahihi wakati wote.

Mbaya zaidi wengi wa mashabiki ni wale wasio hata na kadi ya chama,nao wanajiita wana CHADEMA.

Jambo la msingi kukumbushana ni kuwa sisi ni watanzania.Nawasihi mashabiki wa CHADEMA ni bora wakajiondoa CHADEMA na kujiona kama watanzania neutral ambao watashabikia maslahi ya taifa,na chama kinacho yatekeleza ndicho kiungwe mkono.
Hii itawawezesha kuikosoa chadema pale inapo kosea,na hivyo CHADEMA itakuwa imara na kupata nguvu zaidi.

TANZANIA:Nakupenda sana.

Mbona CHADEMA!????
 
ha2na haja kuendelea kubisha na huyu shabik wa mafisad! maan 2mechoshwa na propaganda zen nw we take over the power!
 
Umesema kweli!
Hata wakati wa kudai uhuru hali ilikuwa hivihivi!
Chama kimoja(TANU) kilikubalika mno na watanganyika kwa matarajio ya kuleta ukombozi.
Lakini,kuna kosa lilifanyika,kuamini mno viongozi wa TANU kama malaika vile!
Hali hii ndio imefanya CCM kutufikisha hapa ilipo tufikisha.
CHADEMA naona kosa lilelile linataka kufanyika.
Hapo blue, kosa gani hilo - lisilo sahihika?
 
Back
Top Bottom