Wito: Tujiondoe CHADEMA

lazima kieleweke sijiondoi chadema ngo, nilisabikia ccm toka enzi za Tanu sasa hivi zamu ya chadema, ndugu yangu hebu jaribu kufikiri ndoka miaka hamsini ya uhuru mpaka leo no changes tukipe chama cha upinzani support kiweze kuchukua dola ili tuone changamoto zake maana hata kama umefunga ndoa na mkeo ipo siku utapiga nje kuonja radha tofauti.
 
ninakubaliana na comment ya jamaa mmoja that "inabidi kuwe na malipo kwa kila anayetaka kuweka post hapa JF"..hivi huyu jamaa anasahau kuwa hata wakati wa kudai uhuru hali ilikuwa hivihivi?

hasomi historia ya nchi huyo..mkoloni mamboleo shame on him/her
 
lazima kieleweke sijiondoi chadema ngo, nilisabikia ccm toka enzi za Tanu sasa hivi zamu ya chadema, ndugu yangu hebu jaribu kufikiri ndoka miaka hamsini ya uhuru mpaka leo no changes tukipe chama cha upinzani support kiweze kuchukua dola ili tuone changamoto zake maana hata kama umefunga ndoa na mkeo ipo siku utapiga nje kuonja radha tofauti.

nahimiza ushabiki wenye kutazama uzuri wa chama na kuusifu bila kusahau kukosoa ubovu pale unapo jitokeza.
This same applies kwa mashabiki wa vyama vingine.
 
Lazima tukubali tuko tofauti,uwezo wake wakufikiria umeishia hapo,anachokifanya ni kubeep,nadhani tunampigia sasa!
 
Imekuwa kawaida sasa kwa vijana wengi kushabikia mno CHADEMA.Hii inapelekea hata kusahau pale chama hiki kinapo boronga,wao hufumba macho na kutanguliza ushabiki mbele.
Jambo hili ni baya kwa mustakabali wa taifa letu,kwani pale ambapo CHADEMA itafanikiwa kuchukua dola,itakumbana na wakati mgumu kwani imezoea kujiona sahihi wakati wote.

Mbaya zaidi wengi wa mashabiki ni wale wasio hata na kadi ya chama,nao wanajiita wana CHADEMA.

Jambo la msingi kukumbushana ni kuwa sisi ni watanzania.Nawasihi mashabiki wa CHADEMA ni bora wakajiondoa CHADEMA na kujiona kama watanzania neutral ambao watashabikia maslahi ya taifa,na chama kinacho yatekeleza ndicho kiungwe mkono.
Hii itawawezesha kuikosoa chadema pale inapo kosea,na hivyo CHADEMA itakuwa imara na kupata nguvu zaidi.

TANZANIA:Nakupenda sana.

When the good deeds outweigh the bad ones! So then, better learn something out of this, hoe & hammer party.
 
Aliyekudanganya kuwa vijana hawana kadi za CDM amekudanganya sana! Hivi inahitajika Shahada au Diploma kufahamu nia ya CDM kwa Taifa hili! Tunafahamu wote kuwa CDM inaundwa na Watanzania wale wale waliokuwa CCM, sasa kutegemea CDM ya Malaika hapa TZ ni sawa na wendawazimu!! Nia ya CDM ni kutoa watanzania tongotongo za imani kuwa wapo watawala wa kuzaliwa na wapo watawaliwa wa kuzaliwa. kila m2 ajue kuwa anayo haki ya kufahamu na kutetea maslahi yake binafsi na Taifa kwa ujumla. tunafanyaje katika hili!? ni kupitia njia za siasa ambapo moja ya njia hizo ni USHABIKI wa wakereketwa pamoja na kuhamasisha wa2 kujiunga. Tutajirekebisha pale CDM itakapokamilisha lengo hili muhimu kwa chama cha siasa.
 
Hakuna wa kuhama cdm. Mimi na nyumba yangu wote tuko cdm. Jitihada zinaendelea kuhamisha uko mzima chadema.
 
Hakuna wa kuhama cdm. Mimi na nyumba yangu wote tuko cdm. Jitihada zinaendelea kufanya ukoo mzima kuwa wanachadema halali kwa kuwa na kadi na siku ya kura tunaenda wote kupiga kura.
 
kuna mtu aliniquote niliposema sina chama, ukweli ukiwa neutral ndipo unapoweza kushaui na kukosoa vizuri kuliko ukiwa mwanachama.
 
Mkuu tegemea matusi na kashfa nyingi sana kutoka kwa hawa pro-chadema na bado watakutukana hawa si unajua unakuta mmoja anamiliki account kumi kwa wakati mmoja hapa JF ndivyo sera za mtaa wa UFIPA zinavyosema MATUSI mbele

ngoja nikutukane nawewe na nakukueleza ukweli kuwa wenye hizo id nyingi ni magamba wenzako ambao mko wachache humu na wenye id nying ili muonekane kuwa ccm ina wafuasi embu acha umagamba wako pamoja utumbo mtupu.
 
mkuu,ushabiki kwa vyama ulio pitiliza ni hatari kwa vyama vyenyewe,na kwa mustakabali wa taifa kwani unajenga vyama vipofu visivyoweza kujikosoa na kujisahihisha.

Taifa lina mustakabali gani!!!!
Kwanza wewe si mtu wetu wewe ni mtu wao, kamkwide chenge katuibiaaaaaa
 
kuna mtu aliniquote niliposema sina chama, ukweli ukiwa neutral ndipo unapoweza kushaui na kukosoa vizuri kuliko ukiwa mwanachama.

unaejifanya uko neutral, tuambie kwa niaba ya huyo "mtu wako" ni nini mustakabali wa taifa!!!!
 
nahimiza ushabiki wenye kutazama uzuri wa chama na kuusifu bila kusahau kukosoa ubovu pale unapo jitokeza.
This same applies kwa mashabiki wa vyama vingine.

Tumekosoa kwa kusema bayana, yako wapi maisha bora kwa kila mtanzania? viko wapi viwanda vya tanzania, rites walitupatia faida kiasi gani tulipowabinafsishia reli yetu ambayo wengi tuliukataa mpango huo!!!! Ni nini ANBEN, kiwira kilirudishwa serikalini baada ya kupewa nani!!! twiga walipandaje ndege pale kia, imekwenda wapi NMC yetu, tunalia machozi kiwanda chetu cha kusafishia mafuta (tipper) hatunacho tena, general tire kwishney, Nembo ya twiga mnyoge kwenye ndege zetu za ATC imebaki simulizi, wapi sukita, vijiji vya ujamaa vilivyotugharimu sana kuvianzisha vinagawiwa wazi eti wawekezaji, nchini kwetu kuna machimbo ya dhahabu mengi sana lakini benki kuu hatuna hata gramu moja ya dhahabu, tanzanite si yetu ingawa inapatikana tanzania pekee, tumewamaliza faru, jk ananunua faru nje ya nchi kisha anamuwinda kijangili, epa, richmond, iptl, simbion,

msszzhzs, muone kichwa kama mkukuta, mimacho imekutoka kama mkurabita!!!
 
Mkuu ulilosema lina ukweli,lakini siyo kwa pro-chadema pekee hata uvccm kuna mashabiki wasiyoambilika akina Shimwela.Hawaonekani kusimamia maslahi ya taifa kwani hawaikosoi serikali inapofail bali wanaonekana tu pale ambapo upinzani wanakosea.Na hii ni vema tukaitazama kwa jicho la tatu pasi na kunyosheana vidole eti CHADEMA pekee.Sisi vijana wa CHADEMA tukubali kukosolewa lakini tusikubali kukosolewa tunapogundua mazingira ya ukosoaji yametengenezwa!

Hata kwa pro CCM the same idea applies...
Mtu Wenu says thanks for this very useful post.
 
Acha mawazo mgando, hicho chama ulicho wewe, kiweke wazi tukifahamu. Na hapo kwenye red chunga sana, hatubahatishi this time.

Sikatai,mnaweza kuchukua dola,lakini kuna tatizo la kutoambiana ukweli.
Hili litafanya chama kutoleta mabadiliko takikana kwa nchi,hence yatakuwa ni mambo "yaleyale"
 
ninakubaliana na comment ya jamaa mmoja that "inabidi kuwe na malipo kwa kila anayetaka kuweka post hapa JF"..hivi huyu jamaa anasahau kuwa hata wakati wa kudai uhuru hali ilikuwa hivihivi?

Umesema kweli!
Hata wakati wa kudai uhuru hali ilikuwa hivihivi!
Chama kimoja(TANU) kilikubalika mno na watanganyika kwa matarajio ya kuleta ukombozi.
Lakini,kuna kosa lilifanyika,kuamini mno viongozi wa TANU kama malaika vile!
Hali hii ndio imefanya CCM kutufikisha hapa ilipo tufikisha.
CHADEMA naona kosa lilelile linataka kufanyika.
 
Aliyekudanganya kuwa vijana hawana kadi za CDM amekudanganya sana! Hivi inahitajika Shahada au Diploma kufahamu nia ya CDM kwa Taifa hili! Tunafahamu wote kuwa CDM inaundwa na Watanzania wale wale waliokuwa CCM, sasa kutegemea CDM ya Malaika hapa TZ ni sawa na wendawazimu!! Nia ya CDM ni kutoa watanzania tongotongo za imani kuwa wapo watawala wa kuzaliwa na wapo watawaliwa wa kuzaliwa. kila m2 ajue kuwa anayo haki ya kufahamu na kutetea maslahi yake binafsi na Taifa kwa ujumla. tunafanyaje katika hili!? ni kupitia njia za siasa ambapo moja ya njia hizo ni USHABIKI wa wakereketwa pamoja na kuhamasisha wa2 kujiunga. Tutajirekebisha pale CDM itakapokamilisha lengo hili muhimu kwa chama cha siasa.

Kujirekebisha baadaye itakuwa too late,kwani mtakuwa mmeonja utamu wa madaraka tayari!
Muda wa kujirekebisha ni sasa!
 
mkuu umenena vyema, tukiacha ushabik wa vyama na kuweka maslahi ya taifa mbele ndo suluhisho.
Tukiwa hivyo mtu anaweza kumpigia kura ya urais mgombea wa cdm, then ubunge ccm na udiwani udp kulingana na sifa na uwezo wa wagombea husika.
Lakini kwa huu ushabik tunao uendekeza tunajikuta tunasifiana hata pale tunapo kosea.
Mwishowe tunarudia makosa yaleyale yaliyofanyika wakati wa tanu ya kuamini viongozi wetu ni watakatifu na hawawezi kukose.
Hilo ndio lilotufikisha hapa tulipo.
 
Back
Top Bottom