Wito kwa walimu.

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,146
884
Ndg walimu wote, maisha bila ya ualimu yapo sana tu, msirudi nyuma, mmenyanyaswa sana na serikali na mmedharauliwa vya kutosha, kama kazi yao wachukue, yani hadi wauza maji wanadharau walimu, bodaboda, na wasukuma makwama, mbona kuna watu wengi tu wanaishi bila ajira ya serikali? Kazeni buti jamani kwa faida yenu na watoto wetu ili heshima ya walimu ipatikane. Mungu wabariki walimu wangu na wanaharakati wote Tanzania dhidi ya dhuluma, ukandamizaji, unyang'anyi na wizi wa CCM na serikali yake dhalimu.
 
Back
Top Bottom