Wito kwa wafanya biashara!

G12

Senior Member
Aug 31, 2012
156
51
Yale maonesho ya kimataifa ya biashara Guangzhou, China ndio yameanza.
Tunawakaribisha wote mnaopenda kuhudhuria maonesho hayo. Mtapata fursa ya kuona bidhaa mbalimbali ambazo mnawezakuzitumia kuwekeza katika nchi yetu.

Ikiwa unataka invitation letter, tutakupatia pia. Ikiwa unataka VISA, tutakusaidia pia upate kwa urahisi.

Ikiwa hutowezakuja, unaweza kutuandikia bidhaa ambazo ungependa kupata details zake mfano: bei, features, n.k then sisi tutakutumia.

Tunashauri mtazame sana bidhaa za viwanda vidogo vidogo kwani nchi yetu uhitaji wake bado ni mkubwa sana, na huu ndio wakati muafaka. Pia ifike mahali na sisi tuwe wazalishaji kuliko ku import kila kitu kama ilivyo sasa.

Nyote mnakaribishwa.

www.g12.hk
 
Mkuu mbona uelezi ni wapi? ni lini itafanyika? taarifa inaonekana bado haijakamilika..
 
Back
Top Bottom