EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,091
Khaaaa!Hua inafanya kazi bwana. . mbona kwangu imekubali?
Pole bana. . .Zaa ulee mwanao kama kuolewa kupo utaolewa tu. Ila usije ukadhubutu kurudia tena huo mchezo.
Khaaaa!Hua inafanya kazi bwana. . mbona kwangu imekubali?
Pole bana. . .Zaa ulee mwanao kama kuolewa kupo utaolewa tu. Ila usije ukadhubutu kurudia tena huo mchezo.
Jamani mnamlazimisha azae, mnajua uwezo wake wa kulea hiyo mimba na mtoto atakaye zaliwa?Kama mwenzako kakataa na huna uwezo, nakushauri toa mimba.Usiwasikilize watu hapa zaa, zaa utajuta, wengi wa kinamama wanaokuanbia hapa wametoa mimba si chini ya tatu.Shauri yako kulea kazi usawa huu, usije kutuongezea watoto wa mitaani bure!kazi kweli kweli, wa kukuoa wala haitaji mimba....wakati ukifika ataamua tu lile limpendezalo...lea mtoto wako Gilesi,unaweza na Mungu akusaidie!
Umeniaibisha sanaJamani PMU ni pata mimba uolewe.
Nimedanganyika mwenzenu mie, nina mimba ya miezi miwili, namwambia mheshimiwa juu ya huu mzigo, na kuanza michakato ya ndoa.
Cha kusikitisha bwana kaka ananijibu, eti mie sina sifa za kuwa mkewe, ila nina sifa za kuwa girlfriend tu.
Hivi sasa kichwa chaniuma, najiuliza NIZAE AU NITOE, sipati jibu.
badilisha formula.
Pata Mimba Zaaa Ulee (PMZU)........
Tunza mimba ukisha zaa niletee mtoto ntamlea, lkn jitahidi msiwe wazembe tena!
Tumekuwa wapenzi kwa mwaka na miezi sasa, nikadhani nikinasa basi itakuwa rahisi kwa mwenzangu kutangaza ndoa
toa mwaya,life is too short kuanza kung'ang'ana na ulezi mwenyewe.:tape2:
Tumekuwa wapenzi kwa mwaka na miezi sasa, nikadhani nikinasa basi itakuwa rahisi kwa mwenzangu kutangaza ndoa
Waraka wenye ujumbe mzito kwa Smile, Husninyo, et al.