mashimbamang'oma
Member
- Feb 21, 2012
- 53
- 23
Kwa viongozi wa chama, mbunge wetu mtarajiwa joshua nassari, wafanya biashara deal...,,,.. Vijana wa jimbo la arumeru mashariki tunahitaji nembo, bendera, magwanda na vitambulisho vya chama.. Tupo tayari kununua kwa bei yoyote tutakayouziwa,,, tunajua chama chetu ni kichanga hakitoweza kutugawia watu wote kama vijana tunaokipenda chama tupo tayari kuchangia pesa kuvipata vitu hivyo...pia waendesha toyo wa kituo cha leganga wanaitaji bendera maana ziliishia usa river... Chama chetu kitajengwa na vijana wenye hari... Nawakilisha...