WITHOUT USING TABLE !

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Mwanafunz wa kidato cha nne akiwa ndan y chumba cha mtihan wa mathematics, gafla akanyanyuka na kwnda kukaa chini ya sakafu huku akiendelea na mtihan....Msimamiz akamfata na kumuuliza vp mbna umekaa chini? Akajibu kwani hujaona swali la 9 linataka tufanye nn? SOLVE THIS QUESTION WITHOUT USING TABLE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom