Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Hahaha! Hongera, haya ukuye pande hii nikupe tizi, asije akakuua manakew huna pumzi ya kutosha najua.

khaaa! waeza sema miye sina pumzi? ulionaje ule mchezo tuliocheza na STD? uliamini ingekuwa mechi kali? haya namba ulonipa chikago je ulinikubali? dive na smash niko juu. chezeya mwl wewe wa volleyball? ka taarifa yako nilifundishwa na masista kucheza.
 
Hehehee shem asante wangu beibe nasty
Mwambie bro natumia ndofu ingawa nimezaliwa leo

Sema lingne hilo mbona limepita na alivona mikwara atawatoa jasho huko wafanyakaz maana eti ananiambia ooooh naenda nawaambia nanunua vinywaji vyote vya store nkabaki namtazama sa sijui anataka zimisha watu kakaako ila wewe u will b under my care aisee ndo kwanza umezaliwa halaf uzimie akuuuu
 
Last edited by a moderator:
Dear sweetlady na Vin Diesel
Pokeeni asante zangu nyingi sana kwa kunijali na kunikumbuka katika siku yangu hii ya kuzaliwa....
Nina furaha sana kujumuika nanyi nikiwa na baraka nyingi toka kwa wana JF wote
Thanks JF members wote kwa kunitakia HERI katika maisha yangu....Mungu awabariki nanyi pia na atupe maisha marefu wote na tuzidi kupendana daima!
 
Wote tuseme,
AMEEEN!!!
 
Last edited by a moderator:
Erickb52, I give you a birthday hug across the miles.....!
I hope u know how special you are, and how much I appreciate you and everything you do.
Happy birthday again!
Waooooooooooo
Thanks mylove for your REAL LOVE!
Nimelipokea kwa mikono miwili na mbwembwe nyingiiiiiiiii!
Mwaaaaaah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom