Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

0011.gif

Wishing you all the smiles
and happy moments
that you deserve
on your special day!
0003.gif
0003.gif
Happy Birthday to you!
0004.gif
0004.gif

0007.gif
0011.gif
0003.gif

Unahisi nini ?
John Boko ndiye alietupia kambani bao 3 kumfunga Mnyama , siku Mnyama alipocheza na Azam.
Habari ndo hiyo.
Semea tu, hawa mineno watamrusha handas mwenye shughuli 52, hence fanya iwe siri yetu! Usin'taje sawa eeh ?
Ukin'taja nakulima fine !

Sasa mbona mikwara mingi bhana Judgement?
Haya n'tamuandalia hiyo keki ila kwa masharti kwamba ikibaki tunaibadilisha rangi nyeupe na mchata mkuuubwaaaaa wa AZAM
 
Last edited by a moderator:
happy bday my shem. Wishing u an everlasting n warmth birtday., my hubby keshatangulia tbl na serenget kufuatilia vinywaji mi ndo nipo hapa nangoje hili duka la mapambo nichukue sm mapambo
 
Hapana sipo.... vipi mtaalam wa kusmash kishatia timu? Ulinambia anakuja leo umekoma kuringishiwa na utaalam wangu wa kusmash na ku dive.....lol

anatia timu leo usiku mishale ya saa 3:30 usiku. so mazoezi tutaanza leo akifika kwenye indoor volleyball pitch. utanikoma manake huyu anachezea timu ya bremen so ntakuwaje mtaalam sasa?

ila nitatafuta siku moja nije nikuonyeshe maujuzi ya bremen, japo nyie wa chicago muongeze ujuzi zaid.
 
Hahahah! Madame B bana, kusoma huwez hata picha imekushinda? Yani mpaka leo hujajua AmKATRINA ni nani? Chezeya multiple IDs weye? Stuka! Think!

Umeniacha mataa ya Magomeni naliwa na mbu.
Sasa hata kama ana Multiple ndo mshindwe kumkagua?
Asprin we sema umeogopa ndo mana umewaachia akina Bishanga na Young_Master.
Tuache hayo,harakisha bhana c unajua sherehe inaanza asubuhi hii!
 
Last edited by a moderator:
anatia timu leo usiku mishale ya saa 3:30 usiku. so mazoezi tutaanza leo akifika kwenye indoor volleyball pitch. utanikoma manake huyu anachezea timu ya bremen so ntakuwaje mtaalam sasa?

ila nitatafuta siku moja nije nikuonyeshe maujuzi ya bremen, japo nyie wa chicago muongeze ujuzi zaid.
Hahaha! Hongera, haya ukuye pande hii nikupe tizi, asije akakuua manakew huna pumzi ya kutosha najua.
 
Umeniacha mataa ya Magomeni naliwa na mbu.
Sasa hata kama ana Multiple ndo mshindwe kumkagua?
Asprin we sema umeogopa ndo mana umewaachia akina Bishanga na Young_Master.
Tuache hayo,harakisha bhana c unajua sherehe inaanza asubuhi hii!

Hahahaha! FYI nshamkagua kwa ile ID nyingine....... STUKA!!! Baada ya ukaguzi nikamwambia abadili ID ili apekuliwe na vijana wangu. Si unajua tena vijana wakishajua nimekagua wanaogopa kupekua?
 
Mh! Ila sweetlady big up,
nahs hyo nyumba yako mumeo anakomajeee!!
Manake hyo ratiba si mchezo ati?
From a.m to p.m watu hoi hapo kwako.
 
Last edited by a moderator:
happy bday my shem. Wishing u an everlasting n warmth birtday., my hubby keshatangulia tbl na serenget kufuatilia vinywaji mi ndo nipo hapa nangoje hili duka la mapambo nichukue sm mapambo
Hehehee shem asante wangu beibe nasty
Mwambie bro natumia ndofu ingawa nimezaliwa leo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom