Wise-up!

Geeez louise! I have like ten more follow-up questions...

hehehee pole yako Ngabu baba...:decision:

later allegator...(halafu for no good reason nimemkumbuka Mzee na 'utanibeba leo'...i guess I overheard it on Sunday (kwenye stations kadhaa))
 
Kwahiyo hata wakiwa wanatoana jasho bado heshima inakuwepo? Anaporudi na harufu za mwanaume/mke mwenzio na kukugusa gusa nazo heshima inakuwepo? Anapokwambia yuko busy hivyo mambo ya kifamilia/wewe umsubirie wakati kaenda kumliwaza mwenzio heshima inakuwepo?

Hiyo sio respect.
 
Remmy akiku cheat kakuheshimu? (bila kujali kiwango tafadhali)

Simaanishi kaniheshimu. Mimi naangalia uhalisia kabisa toka kwa hawa the so called men Na dunia ya Leo. Nimekua kwa kiasi Na kuona maisha ya ndoa/ gf Na bf. Kwa ndoa zote nilizoziona sikuona hata moja yenye uaminifu, mitoto ya nje kawaida, nyumba ndogo kawaida hata mahusiano madogo tu ya gf Na bf there is cheating. Sasa I think, kumwacha MUME au mke eti umemfumania utaenda kwa nani kwa asiye cheat? Nimekulia pia Kanisani, nimeona cheating hadi watoto kwa wanandoa. My point si kwamba nafurahia cheating but si kigezo Cha kuvunja ndoa, labda ukivunja ndoa ukakae singo.
 
Jumatatu nimeenda pale mlimani nikakuta watu wanazungumzia kuwa kuna mtu ameuwawa pale mlimani main campus, ikisadikiwa Kuwa ni mwizi, ila nilipouliza kwa undani zaidi nikaambiwa kuwa " alikuwa ni kaka am baye alikuwa amekuja kwa girlfriend wake ikawa imetokea miss understing baina yao , kwamba yule kaka alikuwa anataka Huyo Mpenzi wake ashuke kutoka bwenini waje waongee lakini Yule dada alikataa kushuka , Yule kaka akaamua kumfuata huko juu ndipo Yule dada akaaanza kumuita MWIIIIZZZZIIII, hapo ndipo maisha ya huyo kaka yalipokatishwa kwa kupigwa na wanazuoni hao. kwanini huyo the so called mwizi msingempeleka sehemu inayo husika???? SWALI: kazi ya auxiliary police ya hapa chuo nini?????? FOR UDSM STUDENTS Its a big SHAME for intellectuals tena kutoka chuo kikubwa kwa hapa tz Kama THE UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM kujichukulia sheria mkononi kupimpiga mtu mpaka kufa!!!!!!!!!!! Hivi mnajitofautishaje na watu ambao hawajabahatika kupata hiyo elimu mnayo itafuta hapo????? Mnawafundisha nini watu ambao hawajasoma Kama nyie ? Kuwa wajichukulie sheria mkononi Kama mnavyofanya????? Any ways labda akipatikana mtu ambaye alishuhudia live aweze kutujuza zaidi . NB: hii ndo Tabia Yao ya kuuwa , huyu sio wa kwanza. ANY WAYS AFTER KILLING MMEFAIDIKA NA NINI???????
 
i can see a wide spectrum of divergent perspectives...hata hivyo utamu wa ngoma uingie ucheze... it is always so easy to have a lot of theories when seating on the fence...
 
If you are SINGLE and keep on saying "I DON'T TRUST MEN/WOMEN!" remember... your mates are getting married every Saturday. Let me ask you, are they marrying spirits? Wise up!

If you are MARRIED and keep saying "I HATE THIS MARRIAGE!" OK! Is it not married people like you that are celebrating Gold, Silver and even Platinum jubilee? ...

If you keep on ranting, ''I'M LEAVING MY MAN, HE C...HEATED ON ME......!" Please, go to town and see all the fine, cute, sexy, hot, hungry and desperate chicks waiting to snatch your man's money and property, they don't even mind sharing. Make it work, my friend!...

Stop saying "I HATE MY JOB!" Look! 20million people are jobless and can't even find any not to talk of keeping it! Do you want to join them?

You keep saying "I HATE WHERE I LIVE!" Oh please! *tears* Try visiting those locations that are flooding now, people leaving in tin/zinc shacks or people living/sleeping under the bridge at night and you will be grateful to God that you even have a place to stay!

Some say "I AM TIRED OF THIS LIFE!" Well, go to the hospital and see people fighting for their lives! Go to the mortuary and take a look then tell me what you feel after that!

My point is, be positive and believe in God, that's all that matters!

kwel kabisa 100%
 
Being positive and settling for less are two different things. And this, is about settling for less kwasababu tu hiyo 'less' ni zaidi kwa wengine.

dahhhhh
binafsi naona ni kosa kuishi maisha yako kwa kulinganisha na ya wengine..
utakuwa na mashindano yasiyo na mwisho ...
 
That was a good idea anyway..but cha muhimu hapo ni kuzingatia positive changes where necessary na sio kubweteka na hali uliyo nayo kwa kuoga hisia za nin kinaweza kutokea...
We are human beings and we are never rigid..changes are always there.
 
dahhhhh
binafsi naona ni kosa kuishi maisha yako kwa kulinganisha na ya wengine..
utakuwa na mashindano yasiyo na mwisho ...

Hapo sasa. . .
Ndo mwanzo wakukesha ukiwaza ya fulani badala ya kujiuliza nilipofikia niendelee vipi.
 
Hapo sasa. . .
Ndo mwanzo wakukesha ukiwaza ya fulani badala ya kujiuliza nilipofikia niendelee vipi.

ukiangalia number moja

"If you are SINGLE and keep on saying "I DON'T TRUST MEN/WOMEN!" remember... your mates are getting married every Saturday. Let me ask you, are they marrying spirits? Wise up!"

dahhhh
hili linatakiwa lichambuliwe kwa undani zaidi .. kwani naamini kuna sababu nyingi sana
kwa nini binadamu asim "Trust" binadamu mwingine. ...

1. Labda matatizo yaliyomkuta udogoni.
2. ugomvi kati ya wazazi.
3. mtu alibakwa.
4. kuna wanaoteswa na partner zao au boyfriend.

yaani nataka tu kusema kuna sababu nyingi sana ambazo zinawafanya watu
wawe single. even tho kuolewa ni chaguo la mtu si lazima kufuata mkumbo au
kufanya ndoa kama fashion show ..... Tuishi maisha yetu jinsi tupendavyo na si
kwa vile fulani kafanya hivi na mimi nafanye ...
 
ukiangalia number moja

"If you are SINGLE and keep on saying "I DON'T TRUST MEN/WOMEN!" remember... your mates are getting married every Saturday. Let me ask you, are they marrying spirits? Wise up!"

dahhhh
hili linatakiwa lichambuliwe kwa undani zaidi .. kwani naamini kuna sababu nyingi sana
kwa nini binadamu asim "Trust" binadamu mwingine. ...

1. Labda matatizo yaliyomkuta udogoni.
2. ugomvi kati ya wazazi.
3. mtu alibwakwa.
4. kuna wanaoteswa na partner zao au boyfriend.

yaani nataka tu kusema kuna sababu nyingi sana ambazo zinawafanya watu .
wawe single. even tho kuolewa ni chaguo la mtu si lazima kufuata mkumbo au
kufanya ndoa kama fashion show .....

I know. ..
Its kinda lame kumtaka mtu atupilie mbali hisia zake.kuhusu jambo fulani kwasababu tu kuna wanaohangaika na kile asichotaka. Kila mtu anatakiwa aishi kwa nafasi yake, wakuamini na aamini kwasababu amepewa sababu za kufanya hivyo na asiyeamini vile vile aendelee mpaka pale litakapotokea jambo linaloweza kubadili maoni yake bila ya kulazimishwa kisa "wenzake wanafanya".
 
nyie 'mafeminist' wawili mbona mnajadili tu mfumo dume bana...hapo si kuna mambo kadhaa TM kaorodhesha, vipi hayo yapo sawa? ndo fikira chanya hizo?

hahhah u made my day!
Usijali bht, unajua dunia ingekuwa boring sana kama kusingekuwa na watu kama hawa.
Inanikumbusha kisa kimoja .Kulikua na bosi mmoja yeye fikiria yake kila mara ni kuwa kinyumenyume tu.Ukimwendea na wazo hili lazima alikatae.Basi watu wakamjulia.Ukitaka kupata kitu kwake, basi wewe mwendee na mawazo ya tofauti na vile unavyotaka wewe.Kwa vile yeye ni mpinga kila jambo, atakupinga na kuishia kukupa kile wewe unachotaka lol.
Hawa jamaa zetu nao kwa kiasi ndio kama hii stori. Kama wanaona hawataki kuona jema kwenye huo ushauri, huwezi kuwavalisha lensi ya telescope ili waone.Na ni haki yao pia kuwa na mawazo hayo.Pia wanashangaza ati kushangaa kwanini mwanamke katoa ushauri kama huo.Kwani mwanamke hawezi kufikiria kinyume na wao? If we all think alike, then somebody is not thinking lol
 
If you are SINGLE and keep on saying "I DON'T TRUST MEN/WOMEN!" remember... your mates are getting married every Saturday. Let me ask you, are they marrying spirits? Wise up!

If you are MARRIED and keep saying "I HATE THIS MARRIAGE!" OK! Is it not married people like you that are celebrating Gold, Silver and even Platinum jubilee? ...

If you keep on ranting, ''I'M LEAVING MY MAN, HE C...HEATED ON ME......!" Please, go to town and see all the fine, cute, sexy, hot, hungry and desperate chicks waiting to snatch your man's money and property, they don't even mind sharing. Make it work, my friend!...

Stop saying "I HATE MY JOB!" Look! 20million people are jobless and can't even find any not to talk of keeping it! Do you want to join them?

You keep saying "I HATE WHERE I LIVE!" Oh please! *tears* Try visiting those locations that are flooding now, people leaving in tin/zinc shacks or people living/sleeping under the bridge at night and you will be grateful to God that you even have a place to stay!

Some say "I AM TIRED OF THIS LIFE!" Well, go to the hospital and see people fighting for their lives! Go to the mortuary and take a look then tell me what you feel after that!

My point is, be positive and believe in God, that's all that matters!

very big amen!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom