Wireless internet transmitter

Osaba

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,937
772
Wakuu naombeni mnisaidie kitu kimoja nataka nitumie PC yangu kama wireless Internet Transmitter na natumia modem ya kawaida tu ya Airtel nifanyeje?
 
kwa jinsi navyojua huwezi kutumia pc kama transmiter,ila unaweza ku-connect wireless router kwenye moderm yako kuwa waireless access point,
ngoja tusubiri wataalam watakuja tuu
 
kama una windows 7 nenda hapa www.connectfy.me na udownload hako ka software,fuata maelekezo rahc tu jins ya kutengeneza wireless conn. yako then ur gud to go,unaweza ukashare na cm,cmptr na vifaa vngne venye wi-fi
 
Mkuu nimeingia hapo hamna kitu
 
ingia control panel, then network and internet nenda kwenye network connection, then right click iyo modem then sharing alafu chek (allow other network to conect through this computers internet connection) ok then dial tena.
 
Bado sijakupata mkuu nifafanulie vizuri
 
nunua wireless router ambayo ina usb port kwa ajili ya kukonnect hiyo modem yako. bei ya route ina range btn 90000 to 200000
 
yeah,unaweza, no need of buying wireless router but your pc needs to have wireless network interface card
i hope unatumia windows 7.if it is
connect your modem kama kawaida.
create new network,yaani select Adhoc network, set up your security key if you want,if not go next,then wakati unaset chini utaona sehemu imeandikwa enable internet sharing,tick hapo and click ok,
ur done, enjoy your wireless interent
 
Inaonekana kwenye windows xp hamna hii kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom