wino mweupe

zumbemkuu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
10,828
8,618
salaam wana JF,
heri ya mwaka mpya wote.
(mbona sijawahi kusikia JK kafiriwa na nduguye? simuombei afiriwe, ila tu kwakuwa anashiriki sana kutoa ubani kwa wengine)..............wino mweupe umeficha maandishi kwenye mabano. teh teh mnisamehe!
 
Join Date : 11th September 2010

Waliojoin JF kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2010, wengi wao wana tatizo kichwani
 
Join Date : 11th September 2010

Waliojoin JF kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2010, wengi wao wana tatizo kichwani

huu uchaguzi mkuu? (au unatumia masaburi?) mbona jukwaa linajieleza? kwani kuna siasa humu?
 
jamani kiswahili kigumu eti ee? kufiriwa si ndo kupoteza ndugu dunian? tusi likowapi hapo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom