Wingu na Mbingu

Mi nilimpeleka shemeji yako kwa wamasai pale ilala baada ya kuona mazingira nikatoa laki asukwe na mademu we acha tu.
Kuna siku namimi nitajifanya mkongo pale au mmasai kamanda nifungue kaofisi, halaf ole wake akatize Lizzy au Husninyo, hakyababu watajuta kugoma kujibu PM zangu.
 
Kuna siku namimi nitajifanya mkongo pale au mmasai kamanda nifungue kaofisi, halaf ole wake akatize Lizzy au Husninyo, hakyababu watajuta kugoma kujibu PM zangu.
Nilienda saloon ya kike nikaona mama mmoja akifanyiwa pedicure eti ina massage hadi kwenye pichu nikasema hapa wangu haji nitampeleka kwa kina dada Mikocheni.
 
Nilienda saloon ya kike nikaona mama mmoja akifanyiwa pedicure eti ina massage hadi kwenye pichu nikasema hapa wangu haji nitampeleka kwa kina dada Mikocheni.
Khaaaa! wewe umeona wapi bana mdada anakwenda kupaka rangi za kucha lakini akiludi kufuli limelowa anakwenda kufua. Mimi bana kama wataniita wa zamani poa tu lakini waifu hayo maeneo hakanyagi kabisa yaani. Hizo nyumba za ibada wenyewe haziaminiki siku hizi itakuwa saloon bana
 
Basi hujajua yote,wanakatwa kucha,kusuguliwa miguu.kukandwa mpaka mapajani yaani vurugu tupu na akitoka hapo anaenda kusuka kwa mmasai asiyevaa chupi na kichwa kuwekwa mapajani akiangalia mkia we acha tu urembo kazi mjini lol! Na hapo bado mpaka kucha rangi wa mtaani hahaha!

Mpwa hapo kwa wamasai mie ndo naishaga kabisa, utakuta mdada katuliza kichwa mapajani kumbe anasikilizia mhemo wa kitu tu....
 
Khaaaa! wewe umeona wapi bana mdada anakwenda kupaka rangi za kucha lakini akiludi kufuli limelowa anakwenda kufua. Mimi bana kama wataniita wa zamani poa tu lakini waifu hayo maeneo hakanyagi kabisa yaani. Hizo nyumba za ibada wenyewe haziaminiki siku hizi itakuwa saloon bana

Mkuu kuna Saloon moja pale kivukoni, ukivuka tu upannde wa KIGAMBONI, hapo nilikuwa naona wajeshi kibao wanaenda, wazee wa heshima wa kumwaga tu...kumbe bwana, nikajaribu kuingia siku moja walah nakwambia nimekuwa addicted na hiyo saloon..ukinyoa kichwa unakung'utwa massge, kuna dada utadhani yuko swimming pool for down shave acha..Ile kitu inanyukwa massage ukitoka hapo mzee, nilirudi baada ya siku mbili kunyoa nikaulizwa mbona huna nywele...nikawambia tafuteni tafuteni tu mtaona hata kwapani...Bongo ubunifu mwingi acha....
 
Back
Top Bottom