Windows

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Jmn msaada wakuu,
naomba kuulza,
eti ni window gani nzuri kwa matumiz yote (nyumban na ofisin)
thanks
 
inategemea mashine unayotumia ina uwezo gani, i mean Ram , processor, hard disk etc Zuia Sayayi
 
Last edited by a moderator:
xp kuanzia sp2 an above is every thng mkuu hakuna cha vista , win7,wala nini izo zingine mbwembwe nying tu bt mara nzito ma zikatae xome apps tabu tupu tena kama w7 ndo kbsaaaaa.
 
Jamani mbona huna maadili ya uandishi ww...? Kwa nini usingeandika Msaada..Alert, unatufanya tufungue thread kwa haraka kumbe cheche.

Anyway kama pc yako inavigezo vya kuweka windows 7,ww tupia Windows 7Ultimate umalize mchezo.
 
inategemea mashine unayotumia ina uwezo gani, i mean Ram , processor, hard disk etc Zuia Sayayi

Thanks guyz,
mashne yangu ya zaman ilikuwa na vista but ikawa ina sturk
for now nataka nnunue mpya itakayokuwa na ram (1.gb au zaid) proc' (1ghz au zaid)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom