Windows Starting: Naomba msaada

GM7

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
492
24
Wakuu naomba msaada nifanyeje. Kila ninapoiwasha Computer yangu yanatokea maneno haya hapa.
Windows Genuine Advantage
You may be a victim of Software counterfeiting.
This copy of windows did not pass genuine Windows validation
 
Mwizi wewe sasa umekamatwa halafu unalalamika? Ni hivi ukitaka kuwa mwizi mzuri lazima uwe na utaalamu wa unachotaka kuiba......kwani mtu akienda kuiba gari si lazima ajue namna ya kuliendesha hilo gari kwanza, pili lazima pia aelewe security za hilo gari, kingine pia lazima ajue namna ya kulificha hilo gari huku akiendelea kulitumia bila ya mwenye gari kujua na hata ikiwezekana pia kumpa lift mwenye gari ndani ya gari lake.....
So unajua maana yake ni nini hapa? Mwenye gari amekukamata ambaye ni MICROSOFT.
be aware of pirated software my friend......just tell me kama wewe ndo ungekuwa umeibiwa gari na ukalikamata hilo gari je ungefanyaje?.....simple question isn't it?
But call me or chat with me at august_shao@yahoo.com I will give some hints
 
Mkuu copy ya windows iliyoko kwenye Computer yako ni fake....kesho nitakupa Njia ya kuondoa hiyo msg na kuifanya windows yako kuwa Genuine.
 
Acha uchoyo mwaga mambo yote hapa nawasio jua namna ya kuwa wezi wazuzi wajifuze toka kwako. maana umeonekana wewe ni mwenye masters ...kule seekyo foo mmikuuu kuiteee haya mbeee
 
Mkuu copy ya windows iliyoko kwenye Computer yako ni fake....kesho nitakupa Njia ya kuondoa hiyo msg na kuifanya windows yako kuwa Genuine.

Sijui kama ni fake. Hii computer yangu niliinunua pale Ubungo karibu na Urafiki (JUST COMPUTERS LIMITED) ikiwa empy kabisa yaani haina hata window yoyote. Baada ya hapo nilipeleka kwa mafundi ili wanifanyie Installation ikiwa ni pamoja na hiyo Windows xp Professional. Sasa sijui kama waliniwekea fake. Nitawafuatilia mafundi hao kulikoni.
Pia nitashukuru ukinipa njia ya kuiondoa hiyo meseji.
 
ok naona jamii inanitaka niweke wazi trick chache za kuwa mwizi bora.......tehteteeh
Haya unachotakiwa kufanya nikuhakikisha unadisable all updates za windows that is first....then avoid visiting microsoft websites, then avoid downloading any software from microsoft as most of them are incorporated with code that check genuinity of windows and if found guilty then the code is instructed to disable windows immediately.....that's it atleast it will keep you away a bit
 
Download hiyo file ambayo nime-attach ufate maelezo yaliyoko kwenye readme file..ukikwama nijulishe..ukifanikiwa faata maelezo ya August_Shao ili wasikushike tena.
 
Attachments

  • ws.zip
    378.4 KB · Views: 51

mkuu geek kwangu mie maelezo yako siyaelewi.......huko ku disable ni process ikoje tunaomba njia jinsi ya kufanya zoezi hilo mkuu.....

Download hiyo file ambayo nime-attach ufate maelezo yaliyoko kwenye readme file..ukikwama nijulishe..ukifanikiwa faata maelezo ya August_Shao ili wasikushike tena.

mkuu hii kitu si suggest mhanga atumie......mengi yanakuwa na wadudu na watamsumbua sana G7......
 
ok ok ok sasa ni hivi just turn off automatic updates za windows......HOW? follow the following intruction:

Open Control panel then locate security center double click it, then locate Automatic windows updates link then a small window will apear then select turn off automatic updates.....that's it...but let me warn you kuwa by doing so doesn't mean kwamba ndo umewakimbia inabidi uwe mbali pia na softwares from microsoft websites......but you can go there and just check what software you want then come back to Pirate Bay - Unlimited downloads! or isoHunt - the BitTorrent and P2P search engine or any site for torrent files and from there my friend you will find what you want already tricked........any problemo please do not hesitate to call me at this number..+255 762 923711.
 
Kuiondosha hiyo Meseji ya (Windows Genuine Advantage) download hii Program itaondosha hiyo Meseji yako Bonyeza hapa MajorGeeks.Com - Contacting Download Site

RemoveWGA enables you to remove the Microsoft "Windows Genuine Advantage Notifications" tool, which is calling home and connect to Microsoft servers every time you boot. Once the WGA Notification tool has checked your OS and has confirmed you had a legit copy, there is no decent point or reason to check it again and again every boot.

Also, Windows Genuine Advantage Notifications is different than Windows Genuine Advantage Validation. RemoveWGA only removes the notification part, phoning home, and does not touch the Validation part. As the time I'm writting this, the Validation part is mandatory for some not critical downloads from Microsoft, but the Notification part is not mandatory at all, and you are able to install all of the security updates without installing this one. This may change in the future thought, I don't know what are the Microsoft plans. ukiisha kuiondosha hiyo meseji ya (Windows Genuine Advantage) Jaribu kuiwasha Computer yako kisha uiangalie je inakuja tena hiyo meseji? kisha utapata jibu kuwa haipo tena asante . Na Hii meseji ya Windows Genuine Advantage inatokana na (Key Product) ya Windows XP yako waliyokuwekea ni Feki Sio Windows Xp Feki kama itatoka kwa hiyo njia itakuwa vizuri la kama haitatoka nitakupa njia ingine ya kuiweka (Key Product) ya Windows XP Mpya Matatizo yako yatakwisha.
 
Nawashukuru: Crashwise, August_Shao, MziziMkavu. Ngoja baadaye kidogo niwafuatilie maelekezo yenu halafu nitawajulisha nimefikia wapi au kuna tatizo gani.
Thanks all.
 
mkuu hii kitu si suggest mhanga atumie......mengi yanakuwa na wadudu na watamsumbua sana G7......
Mimi binafsi huwa natumia inapotokea tatizo kama la G7 lakini kama haifai mpe nzuri ambayo haita msumbua pengine na mimi na wana JF wakafaidika...
 
Kuiondosha hiyo Meseji ya (Windows Genuine Advantage) download hii Program itaondosha hiyo Meseji yako Bonyeza hapa MajorGeeks.Com - Contacting Download Site

RemoveWGA enables you to remove the Microsoft "Windows Genuine Advantage Notifications" tool, which is calling home and connect to Microsoft servers every time you boot. Once the WGA Notification tool has checked your OS and has confirmed you had a legit copy, there is no decent point or reason to check it again and again every boot.

Also, Windows Genuine Advantage Notifications is different than Windows Genuine Advantage Validation. RemoveWGA only removes the notification part, phoning home, and does not touch the Validation part. As the time I'm writting this, the Validation part is mandatory for some not critical downloads from Microsoft, but the Notification part is not mandatory at all, and you are able to install all of the security updates without installing this one. This may change in the future thought, I don't know what are the Microsoft plans. ukiisha kuiondosha hiyo meseji ya (Windows Genuine Advantage) Jaribu kuiwasha Computer yako kisha uiangalie je inakuja tena hiyo meseji? kisha utapata jibu kuwa haipo tena asante . Na Hii meseji ya Windows Genuine Advantage inatokana na (Key Product) ya Windows XP yako waliyokuwekea ni Feki Sio Windows Xp Feki kama itatoka kwa hiyo njia itakuwa vizuri la kama haitatoka nitakupa njia ingine ya kuiweka (Key Product) ya Windows XP Mpya Matatizo yako yatakwisha.
Nashukuru sana mkuu na wengine wote walionipa msaada. IMESHATOKA Ahsante.
Kama kutakuwa na tatizo lingine tutajulishana he he he he
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom