Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,831
- 1,296
Wadau wa IT; ninazo servers mbili moja ambayo ni Windows 2003 na nyingine nimeinstall Ubuntu linux; ubuntu ikiwa primary domain server; zilifanya kazi kwa muda wa miezi 6 bila shida lakini ghafala win server imeanza kuwa slow; nimeangalia perfomance sikuona shida lakini cha ajabu sasa imefikia muda it takes 1omin to log in!
Naombeni ushauri
Naombeni ushauri