windows phone 8 yazinduliwa. it is really android killer new generation smartphone

hii ni market share ya android kubali kataa gingerbread rules unapozungumzia android unazungumzia gingerbread na froyo
share.jpg
 
Naona HTC nao wameanza kuingia kwenye Windows Phone...bila shaka Windows phone inaweza kuja kuipiga gepu Microsoft hapo baadae.
 
Mkuu unaonaje windows kwa app? Sasa window app zote unaweza kuzihamisha kwenye windows phone 8. Mimi sio developer kulizungumzia sana lakini developer wenyewe wanafahamu urahisi wake wp8 itakua na app nyingi na bora zaidi

ninatumia nokia 500 symbian sv60 p3 ila imekataa kuinstall pdf nifanyeje wandugu
 
leo nlikuwa naangalia review za nokia lumia 920 vs iphone 5.
Jamani kwanza naomba niweke wazi ukichukua hizi simu ukaziweka side by side iphone 5 inaonekana kama ya zamani yani lumia 920 ina shape safi sana.
Ukija kwenye graphic interface na icones lumia inavutia mbaya na ile curved display yake inavutia mbaya.
Tukija kwenye mambo mengine kama camera, wireless charging na mengine sina hata haja ya kuyaongelea maana lumia anaongoza kila sector.
Laiti lumia 920 ingekuwa ni brand ya apple kwa jinsi wanavyojua marketing nadhani sa hivi wangekuwa wanasema lumia is beyond man's thinking capacity kama iphone 4 walisema it is beyond its time.
 
Sijawahi kuiangalia lumia live, but via YouTube nimeikubali. Nadhani ni fikra tulizo nazo tu kua iPhone is the bestest
 
nadhani tuwe wa wazi.. wi8 sitavutiwa nayo coz simu zake nyingi expensive. Android brand new napata ata kwa laki 1.5
 
nadhani tuwe wa wazi.. wi8 sitavutiwa nayo coz simu zake nyingi expensive. Android brand new napata ata kwa laki 1.5

Android utazopata kwa 1.5 zinakua sio latest version ya android zinakua eclair, froyo au ikizidi gingerbread.

Same kwenye windows phone kuna wp7 na wp7.5 zote zitapata update ya 7.8 ambayo ui yake ni kama wp8. Zipo rahisi hizi wp7 na wp7.5 na kama manufacture ni wale wale.

Samsung anatengeneza windows phone, htc anatengeneza, huawei anatengeneza, zte anatengeneza labda sony na lg ndo bado hawajaja kwenye wp.

Na yote 9 kumi kuna nokia lumia 510 ina screen 4 inch. Japo ina 4gb tu ya memory but kwa screen ya 4 inch na bei chini ya laki 3 thats big deal.
 
Chief hata sony wanazo mimi niliwahi kuwa na xperia ina run WP7
 
Chief hata sony wanazo mimi niliwahi kuwa na xperia ina run WP7

Yah nliwah ona mtu akicoment hivo but sjawah iona ngoja ntaicheki. Kama bado unayo usiuza maana update ya 7.8 ni kubwa feature karibia zote za wp8 zipo kasoro apps tu.
 
Back
Top Bottom