windows mobile

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
570
215
salaam ndugu zangu .nina windows mobile samsung gt i8000 nili acha usiku connected kwenye laptop kwa kutumia usb cable cha kushangaza asubui nli amka simu haiwaki betry nime charge bado haiwaki.haikuwa na tatizo lolote sijui ni nini kimetokea hadi ikawa hivyo mwenye ujuzi au ambaye ame kumbwa na mkasa kama huu msada please
 
dah kaka ukiconect charger hnaonesha kuchaj? kama hapana bas kaiflash samsung zenye wndows mob znasumbua sana tena sana hata mim nlikuwa na hyo simu ilikuwa inakuwa kama hyo yako na iki corupt wndow hata charge haingii na dawa yake ni kuiflash 2.
 
Back
Top Bottom