Windows can't install updates!

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
Jameni nahitaji msaada huo tajwa hapo juu! kila mara napata erroe messages! settings ziko kwenye Auto updating!
 
Pc yako itakuwa affected na Virus, wamepotosha ile Path ya kufanya updates! jaribu kuscan virus, ikikataa repair hiyo windows itakubali updates
 
Pc yako itakuwa affected na Virus, wamepotosha ile Path ya kufanya updates! jaribu kuscan virus, ikikataa repair hiyo windows itakubali updates

Ahsante sana mkuu nitajaribu kufuata maelezo yako. barikiwa!
 
unatumia anti-virus yoyote?...jaribu kurepair hiyo system kwa kutumia cd uliyotumia kuinstall...kama bado inazingua then fanya back-up alafu iformat uanze upya na uweke anti-virus
 
vista ndugu yangu!!
Mbona hujaweka maelezo ya hayo error ili tupate namna ya kukupa Ufumbuzi mkuu eRRy? ikiwa Computer yako imepatwa na Virus affected huwezi kupata hata internet connection ninafikiri hata hapa Jamii Forums usingeweza kuingia online jaribu kutupa Feedback nzuri sio kutoa nusu nusu tu mkuu asante.
 
Back
Top Bottom