Windows 8!

Given Edward

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
850
202
Microsoft kupitia msimamizi wake wa kitengo cha Windows, leo mchana wamezindua rasmi (at least kwa kuiongelea kidogo) OS yake mpya kabisa ya WINDOWS 8.
Officially WINDOWS EI8GHT itaachiliwa around 2011 mwishoni au 2012 mwanzoni. Sytosky, msemaji wa MS kitengo cha windows leo amesema kwamba windows 8 itakuwa na the following features:-
* Internet Explorer 10
* Two kinds of applications; first kama zile za win 7 that is classic window apps; and two, those that are built in HTML5 and JS, yaani Javascript (pretty much like a mobile app in full pc screen)
* Fast-launching apps kutoka kwenye tile-based hadi a customizable, scalable, full screen view of apps.
* Live tiles with notifications, showing up-to-dated informations about your apps.
* Fluid natural switching of tabs btn running apps
* Touch-optimized browsing, with all the power of hardware-accelerated IE 10
* Web-connected, web-powered apps built using HTML5 and JS.

All in all, WIN8 ina features nyingi ambazo win7 haikuwa nazo. Pretty much, muonekano wake UI umepokea kasoro nyingi, wengi wakisema umekaa much more like a mobile os than a pc os. Personally, i would love to see if they have hit the booting speed like that of linux. I'll post the beta version when I get a copy.

windows-8-transformation-pack1.jpg

Baadhi ya wallpapers hizi hapa kwenye attachment chini:
 
Attachments

  • Windows_8_Wallpaper4a.jpg
    Windows_8_Wallpaper4a.jpg
    40.6 KB · Views: 32
  • Windows_8_Wallpaper2a.jpg
    Windows_8_Wallpaper2a.jpg
    56 KB · Views: 32
  • windows-8-desktop-wallpapers2.jpg
    windows-8-desktop-wallpapers2.jpg
    59.5 KB · Views: 38
  • new-windows-8-wallpapers2.jpg
    new-windows-8-wallpapers2.jpg
    69.7 KB · Views: 44
  • Thanks
Reactions: 3D.
how about facebook,remainingi 97.4% they will buy it????

Sidhani but kama Fb ni priority kwa sasa . Nadhani miaka si mingi watainunua kabisa Nokia.

As fufutre ya web na internet iiko kwenye mobile devices.
 
Suala ni kwamba ni watu wangapi watatumia hizo appliactions? Hapo wanatafuta pesa tuu. Walipotoa Windows Vista walitegemea watatengeneza pesa matokeo yake, ikawa one of the worst wondows they have ever released. Wakajaribu rectify the problem kwenye window 7 but they did not make enough money out of it. Wakaja na Microsoft words 2010, but still watu wanaprefer Word 2003. I just wish they should not drop Windows XP, though nafikiri 2014 ndio mwisho wake.
 
If only wangepunguza matumizi graphics then product zao zisingekuwa kama games za computer. Linux imewashinda kwa booting speed.
 
Kwa jinsi VISTA ilivyonifanya, nadhani ntakuwa "Thomaso" for a while na kustick na Win7 ambayo nilifanya maamuzi kuinunua baada ya kuwa sokoni karibu mwaka.
 
Window are Looosing it!! Mi nadhan kuanzia XP kurudi chini kama windows 95,98,2000, hadi xp hizo ndio zipo poa at least hazipo complecated!!!

wanachokosea wao ni ku assume kuwa kila mtu ana LATEST computer 4gb ram VGA latest with good processor speed...they are so wrong!!!

si wote wanaweza especialy in third word like tz....Namshukuru sana jamaa aliye ni introduce kwa linux Especial UBUNTU dah!!!!

ubuntu is the only Best Os so Far....tena ni freeeee...tena inaongozwa na jamiiiii......tena no virus.....tena freee update...tena freee...softwares.....tena tena dah!! ubuntu is for human Being siwezi tumia Windows.....madirisha ya microsoft yana madhara yake....mengi tu!!

Hamieni Ubuntu tena wametoa latest version 11.04

Ubuntu is, and always will be, absolutely free. Created by the best open-source experts from all over the world, Ubuntu is available in 24 languages and ready for download today.
www.ubuntu.com
 
Microsoft kupitia msimamizi wake wa kitengo cha Windows, leo mchana wamezindua rasmi (at least kwa kuiongelea kidogo) OS yake mpya kabisa ya WINDOWS 8.
Officially WINDOWS EI8GHT itaachiliwa around 2011 mwishoni au 2012 mwanzoni. Sytosky, msemaji wa MS kitengo cha windows leo amesema kwamba windows 8 itakuwa na the following features:-
* Internet Explorer 10
* Two kinds of applications; first kama zile za win 7 that is classic window apps; and two, those that are built in HTML5 and JS, yaani Javascript (pretty much like a mobile app in full pc screen)
* Fast-launching apps kutoka kwenye tile-based hadi a customizable, scalable, full screen view of apps.
* Live tiles with notifications, showing up-to-dated informations about your apps.
* Fluid natural switching of tabs btn running apps
* Touch-optimized browsing, with all the power of hardware-accelerated IE 10
* Web-connected, web-powered apps built using HTML5 and JS.

All in all, WIN8 ina features nyingi ambazo win7 haikuwa nazo. Pretty much, muonekano wake UI umepokea kasoro nyingi, wengi wakisema umekaa much more like a mobile os than a pc os. Personally, i would love to see if they have hit the booting speed like that of linux. I'll post the beta version when I get a copy.

Post hii inafanana na post hii

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/141973-windows-8-demoed.html#post2051843
 
Mimi simo huko MAC ananitosha au Linux Fedora na Ubuntu huyu Bill Gates sinaubavu wa kummudu ni xpensive kwangu halafu anamatatizo mengi tu mara Blue Screen, Freezing, Virus, Debug za kumwaga matatizo juu ya matatizo. Simo Huko Jamani
 
Sidhani kama ubuntu haiwezi kupata virus. Ni kwamba dark hackers wana concentrate zaidi na windows.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Mimi acha nionekane wakuja. Hujaniamisha xp! Nilishajaribu 7ven ikaniboa sana..
Kitu nilichogundua ni kwamba kwa matumizi yetu majority ya wa tz bado tungeweza kuendelea na win 98 tu. Hdd 3gb, ram 128 basi. Hii kutuletea mi window ina requirements kuuubwa wakati matumizi yenyewe hatuna ni kutuibia tu. Hdd 500 gb, ram 4gb.. Za nini? Waai..!
 
point ya maana sana,kwa jns nlivoiona hyo os itahitaji rig la ukwel!
 
Hakuna kipya hapo microsoft sasa kama wanaleta vitu vimepikwa nusu nusu tuu nazani wanaogopa apple compuetrs wanakuja kwa kasi sana. Na OS ya apple computers wanaltoa demo jumanne na imejaa feature kibao ndo maana naona hawa microsoft wakawahi sokoni kuonyesha hiyo w8 na kitu bado kipo jikoni buggy sijui mpaka 2012 ua 2013.
 
Sidhani but kama Fb ni priority kwa sasa . Nadhani miaka si mingi watainunua kabisa Nokia.

As fufutre ya web na internet iiko kwenye mobile devices.

NIMEIPENDA SANA: In Tanzania and Africa Politics is best paying career diffrent from Developed world like UKand Norway. Why is MP best paid person in a district and not a Regional Education offiicer, Regional Engineer, RPC, Rgeional Medica Officer. Regional Agricultural Officer.????

Is it Kilimo kwanza or Siasa kwanza Economy ?
 
Window are Looosing it!! Mi nadhan kuanzia XP kurudi chini kama windows 95,98,2000, hadi xp hizo ndio zipo poa at least hazipo complecated!!!

wanachokosea wao ni ku assume kuwa kila mtu ana LATEST computer 4gb ram VGA latest with good processor speed...they are so wrong!!!

si wote wanaweza especialy in third word like tz....Namshukuru sana jamaa aliye ni introduce kwa linux Especial UBUNTU dah!!!!

ubuntu is the only Best Os so Far....tena ni freeeee...tena inaongozwa na jamiiiii......tena no virus.....tena freee update...tena freee...softwares.....tena tena dah!! ubuntu is for human Being siwezi tumia Windows.....madirisha ya microsoft yana madhara yake....mengi tu!!

Hamieni Ubuntu tena wametoa latest version 11.04

Ubuntu is, and always will be, absolutely free. Created by the best open-source experts from all over the world, Ubuntu is available in 24 languages and ready for download today.
www.ubuntu.com

Mzee tunaenda mbele, utatumia pentium 2 hadi lini, naona kama una dalili za kuzeeka!
 
Back
Top Bottom