Windows 8 Pro Activator

MziziMkavu tunashukuru sana mkuu kwa msaada wako, nitaijaribu hiyo window nyingine kwanza, vile vile kama inawezekana weka maelezo jinsi ya kuweka hiyo window 8 juu ya window 7 inaweza kuwa possible na kuweka pia hata hii window nyingine ambayo umesema juu ya mwindow 7 ili mtu unachagua tu ipi itumike??
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Papizo Kuweka Windows 8 juu ya Windows 7 inawezekana ila ninakushauri uweke peke yake Windows7 na Windows 8 peke ila itabidi uweke Hard disk Partition 2 moja ya Windows7 na Windows 8 kisha kuna program moja inaitwa Easybcd 2.0 Welcome to EasyBCD 2.0! | The NeoSmart Files

Windows 8 Tutorial Install and Keep WIndows 7 - Dual Boot

Last edited by a moderator:
Mkuu Kimox Kimokole Hii Windows 8 nimeiweka kwanza kwenye VMware 8 nitaiweka kwenye Desktop yangu hivi karibuni kwanza nita Backup Driver zangu kisha ndio niiwke nitaiweka juu ya Windows 7 Ultimate ninayo Ubuntu na Zorrin hizo zote pia kiboko si unazijuwa OS za Linux? hii Zorrin kitu mwisho ya OS Linux

desktop.png

office.png

media.png

If you wish to install Zorin OS to your computer please follow this guide:

1. First go to the Download page and download Zorin OS.

2. When the download is finished burn the image file to a blank DVD (any type). You can downloadImgBurn if you don't have a CD/DVD burning program already installed.

3. When the burning process is completed insert the DVD into the computer and restart with it still in. The computer should boot from the DVD, if not you should change the settings in the BIOS or press F12 (or whatever key it is to select the boot device) while booting up again.

4. Press the Enter key to start the LiveDVD, this is a thing that lets you run the operating system off the DVD without installing it onto your computer.
NOTE: The Live DVD runs much slower than after the full installation.

5. Click the Install icon on the desktop if you choose to install it onto your computer. This opens a window, now you can select your desired settings.

6. Later you will be prompted to make a new partition, a partition is a thing you make if you want to install an alternate operating system. This slices your Hard Drive to allow the installation of another operating system. The minimum size for Zorin OS Core is 5 Gigabytes (Just remember to leave enough space for your first operating system).

7. During the installation you will be asked to select your language (over 55 are available), your location, time settings, keyboard layout, partitioning settings and import your files, settings and user accounts from your Windows installation (if you have one).

8. The installation should take 10 minutes up to an hour.

9. After the installation you will be prompted to restart the computer, after the restart the computer should boot up into a menu where you choose which operating system you want to start. To select one use the arrow keys to highlight an option and press the Enter key to start the highlighted one.
Now you should have Zorin OS installed to your computer.

Ukiitaka OS Zorrin bonyeza hapa
Zorin OS - How to install Zorin OS
dah nimekuwa interested na hii zorin OS ila naomba niulize ni dizain ya obuntu kwamba huwezi weka software unazotaka au ni kama windows takataka zote unaweka?
 
dah nimekuwa interested na hii zorin OS ila naomba niulize ni dizain ya obuntu kwamba

huwezi weka software unazotaka au ni kama windows takataka zote unaweka?
Mkuu.qv hii OX Zorin ipo

kama Ubuntu hii ndio Latest OS Linux Huwezi kuweka vitu ovyo inayo vitu vyake vya bure bila ya kulpia kibo mimi

ninaitumia hii mkuu wacha inayo Speed kuliko Windows 7 au hiyo Mpya Windows 8 havioni ndani kwa hii oS Zorin

mkuu Shusha Mwenyewe uje unipe Feedback hapa.
 
Zorin OS 5 Core - Windows Styled Linux Distro Review.

Hakuna hapo Virus wala Spyware wala computer Currupt hapa unaiweka katka Computer yako unakula Raha zake Tumieni Wabongo hii kitu kiboko kweli.
 
Last edited by a moderator:
mkuu.@nxon Angalia kitu hicho Kati ya Linux vs Windows İpi inayokwenda Funguka kwa haraka?

Umepata jibu hapo ni OS Linux kiboko ya Windows.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kimox Kimokole Hii Windows 8 nimeiweka kwanza kwenye VMware 8 nitaiweka kwenye Desktop yangu hivi karibuni kwanza nita Backup Driver zangu kisha ndio niiwke nitaiweka juu ya Windows 7 Ultimate ninayo Ubuntu na Zorrin hizo zote pia kiboko si unazijuwa OS za Linux? hii Zorrin kitu mwisho ya OS Linux

desktop.png

office.png

media.png

If you wish to install Zorin OS to your computer please follow this guide:

1. First go to the Download page and download Zorin OS.

2. When the download is finished burn the image file to a blank DVD (any type). You can downloadImgBurn if you don't have a CD/DVD burning program already installed.

3. When the burning process is completed insert the DVD into the computer and restart with it still in. The computer should boot from the DVD, if not you should change the settings in the BIOS or press F12 (or whatever key it is to select the boot device) while booting up again.

4. Press the Enter key to start the LiveDVD, this is a thing that lets you run the operating system off the DVD without installing it onto your computer.
NOTE: The Live DVD runs much slower than after the full installation.

5. Click the Install icon on the desktop if you choose to install it onto your computer. This opens a window, now you can select your desired settings.

6. Later you will be prompted to make a new partition, a partition is a thing you make if you want to install an alternate operating system. This slices your Hard Drive to allow the installation of another operating system. The minimum size for Zorin OS Core is 5 Gigabytes (Just remember to leave enough space for your first operating system).

7. During the installation you will be asked to select your language (over 55 are available), your location, time settings, keyboard layout, partitioning settings and import your files, settings and user accounts from your Windows installation (if you have one).

8. The installation should take 10 minutes up to an hour.

9. After the installation you will be prompted to restart the computer, after the restart the computer should boot up into a menu where you choose which operating system you want to start. To select one use the arrow keys to highlight an option and press the Enter key to start the highlighted one.
Now you should have Zorin OS installed to your computer.

Ukiitaka OS Zorrin bonyeza hapa
Zorin OS - How to install Zorin OS

Hii mbona imenivutia hivi? Naishusha muda si mrefu. Je iko rafiki kwa software zote?
 
Mkuu.qv hii OX Zorin ipo

kama Ubuntu hii ndio Latest OS Linux Huwezi kuweka vitu ovyo inayo vitu vyake vya bure bila ya kulpia kibo mimi

ninaitumia hii mkuu wacha inayo Speed kuliko Windows 7 au hiyo Mpya Windows 8 havioni ndani kwa hii oS Zorin

mkuu Shusha Mwenyewe uje unipe Feedback hapa.

duh ntaweza kuitumia kweli? Coz napenda kuwa huru niweke nacho taka
 
mkuu.@nxon Angalia kitu hicho Kati ya Linux vs Windows İpi inayokwenda Funguka kwa haraka?

Umepata jibu hapo ni OS Linux kiboko ya Windows.

ila bwana Mzizi mkavu ndio nimeweka hiyo zorin os to be honest windows ni the best ever!!
 
Last edited by a moderator:
Hii mbona imenivutia hivi? Naishusha muda si mrefu. Je iko rafiki kwa software zote?
Mkuu Kimox Kimokole kwako wewe ambaye umeshatumia Windows OS MAC ukitaka kutumia OS Zorin itakufaa lakini uiweke Partiton yake peke yake itakuwa umefanya jambo la maana sana usiweke pamoja na Windows 7 iweke iwe na hard Disk ya Partiton yake kivyake uta Enjoy na Moyo wako.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nxon umeipenda OS Zorin? kwanza ipo very light halafu ina speed halafu kila kitu chake ni bure bila ya malipo hiyo ni kiboko ya Windows OS Zorin faidi mkuu.
nimeipenda graphics zake ziko poa sana ina mbwe'mbwe pia upande wa drivers inaingiza yenyewe ila sorry u'm addicted to windows
 
Mimi ninayo hiyo OS Zorin na Ubuntu Os na Windows 7 sasa ninataka kuweka Windows8 nitaitowa hiyo Ubuntu OS na kuiacha OS Zorin na Windows 7 na windows 8 nxon mkuu OS Zorin kiboko ya wote wacha weeeee hakuna mambo ya Virus wala Spyware kwenye OS Zorin unavuruga viwanja tu na ipo na speed na tena ipo light sana.
 
Sina uhakika sana kwasababu mi sio mtaalam wa IT. Lakini Windows inakuwa favourable kwasababu ya mahusiano yake na vifaa vingine. Kwa fano, unapokuja na OS ya kwako peke yako wakati unafanya kazi na wenzio 10 ambao wanatumia windows na kila kitu kiko ki windows windows lazima u fail. Sijui kama hiyo Zorin inaweza kuwa inachukua kina microsoft office lakini kama haina sina uhakika utafanyaje kazi za kawaida unless.........

Nakumbuka case ya Apple na microsoft zamani wakati hawajawa compatible sana na kila mtu ana cha kwake. Kumbuka mojawapo ya failure za TTCL Mobile ambao walitaka kuja na CDMA ambayo haikuwa compatible na GPRS na GSM. so nahisi hapo ndipo panapoifanya Windows kuwa the best pamoja na changamoto zake nyingi sana zikiwemo virus, malware, spyware na kadhalika.

Nimetumia karibu windows zote, kuanzia 95,98,2000,xp,vista,7 na sasa natumia 8. Sijawahi kutumia hizo nyingine zote kama zorin na nyingine za Linux lakini Windows 8 is one of the fastest i have ever used kwenye products za windows (inawezekana pia inachangiwa na capacity ya computer yenyewe but its very fast kwenye ku start na hata ku nevigate from one thing to another. U dont need to put drivers coz kila kitu kinakuwa ndani ya windows tayari. Pia ina features nyingi zaidi na more fancy than windows 7
 
MziziMkavu naungana na huyu jamaa M'Jr kwa sasa natumia windows 8 axee bonge la OS ever had iko faster na apps kibao Ziron OS hatii mguu kwa windows 8
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu naungana na huyu jamaa M'Jr kwa sasa natumia windows 8 axee bonge la OS ever had iko faster na apps kibao Ziron OS hatii mguu kwa windows 8
shauri yako mkuu nxon Waswahili husema Kipenda roho nyama mbichi ukipenda ndio hivyo hivyo huwezi kubadilika kitu.mimi siwezi kukupangia ipi utumie kazi kwako kupanga na kupangua uchaguzi ni wako mwenyewe mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Sina uhakika sana kwasababu mi sio mtaalam wa IT. Lakini Windows inakuwa favourable kwasababu ya mahusiano yake na vifaa vingine. Kwa fano, unapokuja na OS ya kwako peke yako wakati unafanya kazi na wenzio 10 ambao wanatumia windows na kila kitu kiko ki windows windows lazima u fail. Sijui kama hiyo Zorin inaweza kuwa inachukua kina microsoft office lakini kama haina sina uhakika utafanyaje kazi za kawaida unless.........

Nakumbuka case ya Apple na microsoft zamani wakati hawajawa compatible sana na kila mtu ana cha kwake. Kumbuka mojawapo ya failure za TTCL Mobile ambao walitaka kuja na CDMA ambayo haikuwa compatible na GPRS na GSM. so nahisi hapo ndipo panapoifanya Windows kuwa the best pamoja na changamoto zake nyingi sana zikiwemo virus, malware, spyware na kadhalika.

Nimetumia karibu windows zote, kuanzia 95,98,2000,xp,vista,7 na sasa natumia 8. Sijawahi kutumia hizo nyingine zote kama zorin na nyingine za Linux lakini Windows 8 is one of the fastest i have ever used kwenye

products za windows (inawezekana pia inachangiwa na capacity ya computer yenyewe but its very fast

kwenye ku start na hata ku nevigate from one thing to another. U dont need to put drivers coz kila kitu

kinakuwa ndani ya windows tayari. Pia ina features nyingi zaidi na more fancy than windows 7
mkuu M'Jr kama kitu hujuwi bora uulize Waswahili wanasema kuuliza sio ujinga OS Zorin ina office yake haitegemei Microsoft office OS Zorin ina Office yake inaitwa kwa jina Libre office inafanya kazi kama

inavyofanya kazi Microsoft office. sasa kila kitu unachokiona kwenye Windows kipo kwenye OS Zorin mkuu wacha wee OS Zorin ni moto wa kuotea mbali mkuu.Home » LibreOffice
 
Mkuu nahisi labda hujanielewa,

Nimesema hivi, moja mi sio mtaalam wa IT so sijui hayo yooote unayoyasema hapo lakini what i was worried ni kwamba kama wewe unatumia hiyo Libre office yako na wenzio kumi wanatumia Microsoft Office can you share stuff? Kwa mfano umeandaa file la word kwenye libre ukamtumia mtu anayetumia Micosoft office anaweza kulifungua na tena bila kuathiri uhalisia wake? Nasema hivi kwasababu ya matatizo yaliyopo hata kwenye Apple na Microsoft pamoja na kwamba vingi viko compatible lakini huwa kuna mvuragano wakati mwingine kwenye form ya documents.

Kwa sisi ambao documents is here we spend most of our times ni lazima ufikirie mambo mengi kabla hujaamua what kinda computer unataka kutumia na hata OS ya aina gani itaweza kukufaa na ndio maana mara nyingi kwenye ofisi watu huamua kutumia aina moja ya computer au aina moja ya OS ili kuavoid hilo. Nakubaliana na wewe kwamba huenda Zorin ikawa the best kwa kila nyanja but going beyond your computer ndipo ninapoangalia mimi.

Hope sasa umenielewa
 
Back
Top Bottom