sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,285
dont be fooled by crackers mkuu..watu wanacrack win 8 preview ionekane kama original na ndo maana bado unakuta watu wengi wanalalamika inamapungufu sana mara drivers fulani hazifanyi kazi sababu the real one is not yet out!!!!hii iliyozagaa mtandaoni ni kama cracked version tu ya preview ili isiwe na ile limit ya preview time na mtu ujione kama unatumia original(win 7 ilikuwa hivihivi mkuu), na hiki ndo kitakachofanyika hata original yenyewe ikitoka..watu wanacrack ili utumie original bila kununua...ndo hiyo watu wengi wanasubiria nikiwemo mimi..open your eyes!!
Mkuu nakubali yote unayosema lakini kwa binadamu hakuna kisicho leak hasa kwa wale wa bure. Kama unasubiri ya kuuziwa officialy ww subri.... Angalia Snap Shot ya huyu jamaa vizuri utaona Version ya Windows ni Windows 8 pro na wala sio consumer preview na kadhalika.
Hii windows 8 ni real ww subiria version nyingine ka ultimate nk.
Asante