Windows 8 Launch By Microsoft

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
Sasa kitu cha window 8 kikiwa na touch sreen kishazinduliwa na Microsoft hawa jamaa hata wakizidiwa ujuzi fulani na kampuni zingine lakini bidhaa zao ni poa na bei poa na zinaviwango vya kati so huwezi kuvichukia huwezi kuvipenda hadi ukinai so bidhaa zao zinabaki kwenye hali ya kati na zinakuwa ni muhimu kwa maisha ya kila siku...

dell_2378593b.jpg
Image 2 of 5
This Dell convertible Windows 8 laptop can be both a tablet, a laptop and a media-player, depending on how you configure the screen

Mambo ya iphone yanaboa bei juu na zipo complicated sana nchini kweu... so kwangu Microsoft naipa namba moja... hii window naisubiria sana ifike kwetu niitumie...

Thanks To Steve Ballmer C.E.O na Bill Gates

ballmer_2374694a.jpg

Microsoft's CEO Steve Ballmer with the Surface tablet (Bloomberg)

surface_2252360b.jpg

Microsoft's new Surface tablets will come in a range of colours and run Windows 8 in a bid to take on the iPad
 
Naamini hii os sio nzuri hasa kwa desktop pcs. Iko designed sana kwa touch screen itapa shida watu kuizoea. Haitatokea microsoft wakatoa os nzuri na itakayopendwa kama xp

Windows 8 marks the fall Microsoft
 
Hamna kitu hapa hii itakuwa kama vista watu wengi maoni yao youtube ni kwamba ni kimeo. Microsoft inabidii waongeze bidiii zaidi wanaconcetrate sana kwenye mobile divices na wanasahau cash cow wao ni kwenye pc lol....
 
Sasa kitu cha window 8 kikiwa na touch sreen kishazinduliwa na Microsoft hawa jamaa hata wakizidiwa ujuzi fulani na kampuni zingine lakini bidhaa zao ni poa na bei poa na zinaviwango vya kati so huwezi kuvichukia huwezi kuvipenda hadi ukinai so bidhaa zao zinabaki kwenye hali ya kati na zinakuwa ni muhimu kwa maisha ya kila siku...

dell_2378593b.jpg
Image 2 of 5
This Dell convertible Windows 8 laptop can be both a tablet, a laptop and a media-player, depending on how you configure the screen

Mambo ya iphone yanaboa bei juu na zipo complicated sana nchini kweu... so kwangu Microsoft naipa namba moja... hii window naisubiria sana ifike kwetu niitumie...

Thanks To Steve Ballmer C.E.O na Bill Gates

ballmer_2374694a.jpg

Microsoft's CEO Steve Ballmer with the Surface tablet (Bloomberg)

surface_2252360b.jpg

Microsoft's new Surface tablets will come in a range of colours and run Windows 8 in a bid to take on the iPad

Please provide me in English because i want to know more about windows 8 but unable to read you.
 
@ggicollegepunjab
Google
is doing a great job, Ha Ha Ha

Now the object of window 8 with a touch screen kishazinduliwa with Microsoft these families until they overwhelmed certain skills and other companies, but their products are cooled and prices cooled and zinaviwango medium so you can not kuvichukia can not kuvipenda until you ni so their products remain in the middle and become is essential for everyday life ...

This is a translation from the words

Sasa kitu cha window 8 kikiwa na touch sreen kishazinduliwa na Microsoft hawa jamaa hata wakizidiwa ujuzi fulani na kampuni zingine lakini bidhaa zao ni poa na bei poa na zinaviwango vya kati so huwezi kuvichukia huwezi kuvipenda hadi ukinai so bidhaa zao zinabaki kwenye hali ya kati na zinakuwa ni muhimu kwa maisha ya kila siku...
 
Naamini hii os sio nzuri hasa kwa desktop pcs. Iko designed sana kwa touch screen itapa shida watu kuizoea. Haitatokea microsoft wakatoa os nzuri na itakayopendwa kama xp

Windows 8 marks the fall Microsoft

Mkuu sjajua kuhusu uwezo wake lakini windows 8 imetengenezwa kwa metro/modern ui

Hii ni user interface nzuri na rahisi duniani kwa sasa inafanya vitu vyako unavovipenda vyote kuonekana kwenye screen na huna haja ya kuvitafuta ndani ndani
 
guys mnadanganya tu hapa windows 8 inatoka leo masaa machache kutoka sasa na hii thread imeandikwa kabla ya windows 8 kutoka naomba mwenye bundle ya kutosha akaangalie ili aone

Hiyo mnayoijua ina bugs nyingi ambazo zimekua reported ili ziwe solved na wengine wana developer preview (even though hata hawajui programing)sasa kama hio developer preview mtu wa kawaida ukiiona unaweza ukaitupa pc yako maana kwa macho ya mtu wa kawaida ni takataka mpaka kwa developer mwenyewe.

Haterz make microsoft famous
 
Hii kitu ni takribani miezi miwili naitumia - it is basically Windows 7 being painted with "flowers"...!
hapana, nakataaa, hii kitu is really, window 8 ni ya ukweli , mi toka user preview nimeicheki !! it is awesome, yaani imeniunganisha vilivyo na mashine yangu , kuanzia ma skye drive, email na other social networks , window 8 its really bro
 
hiyo developes preview nimeitumia kwa miezi kadhaa, kwanza sijapenda metro menu, ikbidi nii disable, pili wametoa start button, so kila mara nikitaka kufungua start menu inabidi nibonyeze keyboard, so nikarudisha start button kama kwenye windows 7, kifupi haina mabadiliko makuuuubwa ambayo kama ilivyokuwa kutoka xp kwenda seven, nimezicompare zote na mi naona windows 7 bado nzuri (in terms of kupiga mzigo), maana kila unapogusa windows 8, inatokea "Tap to..." which means watafurahia zaidi wenye tablet hata menu, icon, na vitu vingi vimewekwa kwa size kubwa ili kufit kidole , nakubaliana na @ nyasiro kabisa, kwa sasa natumia zote mbili, hii windows 8 sijaipenda bado, mayb it will take some time
 
Back
Top Bottom