Window nzuri kwa hii laptop ni ipi?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wadau natumia laptop aina ya ( hp compaq ) q40 hapo nyuma iliwah leta usumbufu fund akanibadilishia window akaniwekea hii window imeandikwa (vista busness) naona kama si nzur kwasabu webcam( camera) imekuwa chini ya kiwango inatoka ndogo hata nikimaxmazi hakuna lolote na baadhi ya vitu kwny camera display hamna pia bluetooth kwa sasa inagoma kupokea data inatoa tu kwa ufup naona kama window hii vista busness inachangia nataka kubadili je ipi itakuwa fresh kwa hii laptop ya hp compaq! Nawasilisha!
 
wewe wndow xp sp3 ndo inafaa kwa hyo laptop yako. Nadhan vsta ts bg 4 t n 7 pia stl bg
 
Tembelea ukurasa huu official wa Microsoft
Kisha kong'oli sehemu imendikwa download the windows seven upgrade advisor. Pakua hiyo program kisha install. Then ikimbize (run). Itakupa majibu

Lakini kama mashine yako ilikuwa orginally designed kwa Vista OS basi haitakiwi kuwa na shida sana kwenye windows 7. Lakini kama ilikuwa originally designed kwa XP unaweza kuwa na shida kwa baadhi za madereva (drivers) kama VGA( Display) Network, Sound . Kutegemea ni hardware gani zinatumika kwenye driver hizo.

Zaidi ya Space amabayo windows 7 inataka 16 GB cha msingi ni drivers kuu tatu VGA, Network, Sauti , Na RAM atleast iwe 1GB kwa 32 Bit mashine au 2GB kwa 64 bit

Otherwise soma system requimenet za winws 7 hapa uone kama mashine yako inakidhi minimum specs
 
Wadau natumia laptop aina ya ( hp compaq ) q40 hapo nyuma iliwah leta usumbufu fund akanibadilishia window akaniwekea hii window imeandikwa (vista busness) naona kama si nzur kwasabu webcam( camera) imekuwa chini ya kiwango inatoka ndogo hata nikimaxmazi hakuna lolote na baadhi ya vitu kwny camera display hamna pia bluetooth kwa sasa inagoma kupokea data inatoa tu kwa ufup naona kama window hii vista busness inachangia nataka kubadili je ipi itakuwa fresh kwa hii laptop ya hp compaq! Nawasilisha!

weka kwanza na specification nyngine i.e RAM,CPU spidi n.k
 
Back
Top Bottom