Wimbo wa Yanga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,377
58,384
Hawa ndugu zangu naona wameishiwa kabisha..zamaleki wameshafungua domo kumeza hili kandambili wao wamebakia kutafuta wimbio sijui taarabu gani hata siwaelewi elewi. anzisheni bendi kabisa tujue moja tununue nyimbo zenu ..mnachekesha kweli ha ha ha ha ..
 
Yanga wataumia vibaya kwani hawana historia nzuri na waarabu. Kwa waarabu ni mnyama tu ndiyo mwenye uwezo wa kuunguruma. Simba oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hv kwan wachezaji na kamati yao nao wameacha kufnya mazoezi wanachagua wimbo au? Sidhani km wimbo utawafanya wafungwe na Zamalek. Ninachoona hapa ni kuwa Yanga wanatunga huo wimbo ili cku hyo wapate sapoti ya mashabiki kwani naimani wengi watajitokeza siku hyo.
 
Umekereka eeh! Unalo hilo!
Hakuna ajuaye kesho

Hawa ndugu zangu naona wameishiwa kabisha..zamaleki wameshafungua domo kumeza hili kandambili wao wamebakia kutafuta wimbio sijui taarabu gani hata siwaelewi elewi. anzisheni bendi kabisa tujue moja tununue nyimbo zenu ..mnachekesha kweli ha ha ha ha ..
 
Yaani yanga tia maji tia maji , nadhani wanataka kutumia mechi ya Zamaleck kujikwamua kiuchumi.

Nyimbo zenyewe zote mbaya
 
Hawa ndugu zangu naona wameishiwa kabisha..zamaleki wameshafungua domo kumeza hili kandambili wao wamebakia kutafuta wimbio sijui taarabu gani hata siwaelewi elewi. anzisheni bendi kabisa tujue moja tununue nyimbo zenu ..mnachekesha kweli ha ha ha ha ..
yale yaleeeeeeee ya pinda badala ya kusol;ve ishu muhimu yeye akaanza kumshabulia DR uli....hawa yanga bana wako bize na kutunga nyimbo bwahahahahaha tizoo bana
 
Hivi mtu unaweza ukawa unaendelea kuimba tuu huku timu yako inaendelea kuruhusu mabao? Inahitaji moyo sana kuimba siku unapocheza na timu kama Zamalek
 
Hawa ndugu zangu naona wameishiwa kabisha..zamaleki wameshafungua domo kumeza hili kandambili wao wamebakia kutafuta wimbio sijui taarabu gani hata siwaelewi elewi. anzisheni bendi kabisa tujue moja tununue nyimbo zenu ..mnachekesha kweli ha ha ha ha ..

ahahaaa! kila mtu na mnyonge wake.
zamalek ana mnyonge wake, yanga naye anaye wa kwake (ila bahati mbaya sana huyu wa yanga ni jirani yake pia....derby!)

hivi yanga na simba zinacheza lini vile?
 
hahahaha ahanguvumali umenifanya niceke sana aise
hahhahah
[video=youtube_share;t1IRwgr9dEE]http://youtu.be/t1IRwgr9dEE[/video]
hahahaaah wewe cheka tu, ndio mambo yetu hayo, mimi nataka kubadili hobby ya kupenda , maana miaka yangu yoote Yanga ndio ilikua club yangu, tangu aingie Manji pale, mie hamu na liklabu hilo imeisha, watu wanajadili nyimbo na namna ya kuimba/kucheza/kupayuka, wenzetu wako busy na mazoezi.

ha ha ha ha! hapa sina mbavu.kweli utani wa jadi ni mbaya sana! sasa hayo mazoezi ya kuimba alamba yalifanyika kwenye ukumbi gani?
 
hahahaaah wewe cheka tu, ndio mambo yetu hayo, mimi nataka kubadili hobby ya kupenda , maana miaka yangu yoote Yanga ndio ilikua club yangu, tangu aingie Manji pale, mie hamu na liklabu hilo imeisha, watu wanajadili nyimbo na namna ya kuimba/kucheza/kupayuka, wenzetu wako busy na mazoezi.

pole kaka..ila wimbo wa nini sasa hivi kaka wakati mna mechi ngumu sana mbele. siwawangii lakini nawatakia kila la kheri
 
Hivi mtu unaweza ukawa unaendelea kuimba tuu huku timu yako inaendelea kuruhusu mabao? Inahitaji moyo sana kuimba siku unapocheza na timu kama Zamalek

ha ha a umeona ee?....hapo mkishapigwa kama tatu za fasta sijui kama hata huo wimbo wenyewe utaimbika. haya majamaa yanachekesha kweli yaani
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom