Wimbo wa Taifa..

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
Kuna jamaa moja alikuwa na tabia akiingia Toilet anakaa muda mrefu sana, siku moja anaingia toi..mke wake akampa redia ndogo aendelee kusikiliza asiboreke.....jamaa alipotoka mazungumzo yakawa hivi....

Mke: vp umefurahia?

Mume: duh....nimejiongezea shida....

Mke: kwani vp?

Mume: ile naanza tu kushusha vitu, si wakaweka wimbo wa taifa.......

Mke: ikawaje?

Mume: Nimeku**nya nimesimama!!

Mke: Tobaaaaaaaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom