Wimbo wa NI WAKATI WAKO kaimba nani?

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,458
29,151
Wadau,

Kituo cha Televisheni cha DTV kimeamua kuja upya kama kituo cha kisasa.

Katika kuja upya huko kimeamua kupita mitaa mbalimbali ya jijini Dar es Salaam na kupigiga style kama ya tamasha hivi ambapo wasanii mbalimbali wana-perform.

Sasa wana wimbo wao mmoja ambao ndio hutumika kutambulisha huu ujio mpya wa DTV. Wimbo unasikika kama NI WAKATI WAKO ....., kuna mdau anaweza kunipa more details za huu wimbo kama vile mtunzi, jina la wimbo, pia si mbaya tukisaidiana kuupata wadau.
 
Back
Top Bottom