JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,510
- 7,540
kuna wimbo wa zamani umeimbwa na mwanamama akiimba '' sugar daddy sugar daddy...heri kufa masikini kuliko kusimangiwa heri kufa masikini kuliko kusimangiwa na walimwengu ee, tamaa iliuwa fisi...umasikini si kilema, matatizo ya dunia, leo kwangu kesho kwako...'' nimeshausikia mara kadhaa lakini watangazaji wa redio hawataji hata majina ya muimbaji, sijui kwa nini!?