Wimbo ulio bora

Felixonfellix

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
1,672
182
Mpendwa.
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]2[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Unibusu kwa busu la kinywa chako,
kwa maana upendo wako unafurahisha
kuliko divai.
[/FONT]
[/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]3[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Manukato yako yananukia vizuri,
jina lako ni kama manukato yaliyomiminwa.
Ndiyo sababu wanawali wanakupenda!
[/FONT]
[/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]4[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Nichukue twende nawe, na tufanye haraka!
Mfalme na anilete ndani ya vyumba vyake.

[/FONT]
[/FONT]Marafiki
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Tunakushangilia na kukufurahia,
tutasifu upendo wako zaidi kuliko divai.

[/FONT]
[/FONT]Mpendwa
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Tazama ni jinsi gani ilivyo haki wakupende!
[/FONT]
[/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]5[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Mimi ni mweusi, lakini napendeza,
Enyi binti za Yerusalemu,
weusi kama mahema ya Kedari,
kama mapazia ya hema la Solomoni.
[/FONT]
[/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]6[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Usinikazie macho kwa sababu mimi ni mweusi,
kwa sababu nimefanywa mweusi na jua.
Wana wa mama yangu walinikasirikia
na kunifanya niwe mtunza mashamba
ya mizabibu,
shamba mwenyewe langu la mizabibu
nimeliacha.
[/FONT]
[/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]7[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Niambie, wewe ambaye ninakupenda,
unalisha wapi kundi lako la kondoo
na ni wapi unapowapumzisha kondoo
wako adhuhuri.
Kwa nini niwe kama mwanamke
aliyefunikwa shela karibu na makundi ya
rafiki zako?

[/FONT]
[/FONT]Marafiki
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]8[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Kama hujui, ewe mwanamke mzuri kuliko
wote,
fuata nyayo za kondoo na kulisha wana-
mbuzi wako
karibu na hema za wachungaji.

[/FONT]
[/FONT]Mpenzi
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]9[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Mpenzi wangu, ninakufananisha
na farasi jike aliyefungwa katika mojawapo
ya magari ya vita ya Farao.
[/FONT]
[/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]10[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Mashavu yako yanapendeza yakiwa na vipuli,
shingo yako ikiwa na mikufu ya vito.
[/FONT]
[/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]11[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Tutakufanyia vipuli vya dhahabu,
vyenye kupambwa kwa fedha.

[/FONT]
[/FONT]Mpendwa
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]12[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Wakati mfalme alipokuwa mezani pake,
manukato yangu yasambaza harufu yake
nzuri.
[/FONT]
[/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]13[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Mpenzi wangu kwangu mimi ni kifuko cha
manemane kati ya matiti yangu.
[/FONT]
[/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]14[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Mpenzi wangu kwangu mimi ni kama kishada
cha maua ya mhina
yaliyochanua kutoka mashamba ya
mizabibu ya En- Gedi.
[/FONT]
[/FONT]
Mpenzi
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]15[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu!
Tazama jinsi ulivyo mzuri!
Macho yako ni kama ya hua.
[/FONT]
[/FONT]
Mpendwa
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]16[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu!
O, tazama ni jinsi gani unavyopendeza!
Na kitanda chetu ni cha majani mabichi
mazuri.
[/FONT]
[/FONT]
Mpenzi
[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]17[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Nguzo za nyumba yetu ni mierezi,
na mapao yetu ni miberoshi.
[/FONT]
[/FONT]
 
huyo ndo mfalme selemani aliyekuwa na hekima ila akaishia kuwa na wanawake arobaini na mazulia kibao, mi napenda maneno yake japo simkubali.
 
huyo ndo mfalme selemani aliyekuwa na hekima ila akaishia kuwa na wanawake arobaini na mazulia kibao, mi napenda maneno yake japo simkubali.

Unaharibu jina bana ni mfalme Sulemani..my dear kama alipata kibali machoni pa bwana mkubali tu kwa wakati ule ilikuwa ni sawa kuwa na wake wengi otherwise angekiona cha mtemakuni live yani
 
nitajitahidi kuendelea kuweka mashairi haya ili tujifunze
Safi kaka,maana watu hawana muda wa kuvifunua hata majumbani lakini hapa uongo ....tutasoma tu japo kama Roho Mtakatifu yu mbali nawe utatoka kapa huwez elewa mjomba..wanasema bible ni fumbo(puzzle)
 
huyo ndo mfalme selemani aliyekuwa na hekima ila akaishia kuwa na wanawake arobaini na mazulia kibao, mi napenda maneno yake japo simkubali.

Alitengeneza na Bwana na alimwishia Mungu...aliiona utajiri/fahari vyote ni bure...hivo Suleimani alimpendeza Mungu.
 
Hiki kitabu hua sikipitii kabisa, ni moja ya vitabu nnavoviona vigumu sana kwenye bible.labda nkapekuepekue.
 
huyo ndo mfalme selemani aliyekuwa na hekima ila akaishia kuwa na wanawake arobaini na mazulia kibao, mi napenda maneno yake japo simkubali.

Shikamoo mamkwe (mami) nikukumbushe Sulemani alikuwa na wake mia saba na masuria mia tatu 1Fal. 11:3.
 
mwaka mmoja una siku 365 au 366
jamaa alikuwa anawahudumia vipi?
je alikuwa ana ratiba complex kiasi gani?
je wote alikuwa anawaridhisha?
je alikuwa na nguvu kiasi gani?


mamamkwe nikusahihishe alikuwa na wives 700 na concubines 300!
 
Back
Top Bottom