Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki feat Nicolazo-KKK( wimbo wa ukweli)

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Aisee huu wimbo mpya unaoitwa KKK ni balaa,

...........Njaa ya ‪Madee haifanani na njaa ya‪Ommy wa ‪Tupogo na show akikataa‪Izzo B‬ atakwenda‪‎Nay Wa Mitego‬ Huyu anaikataa laki yule anaifuata kwa Bus Yule watamfanyia FITNA ang'ae kama‪ ‎Almasi‬Sasa umoja utatoka wapi kati ya MCHICHA na UBUYU, Wadau wanachenga nyingi kama waliichezea TUKUYU......

........Kufumba macho si njia ya kukwepa ngumi.....

'
'aliyepata ziro form iv ndo mnamsukuma aende VETA;inamaana umeme wa magari ndo unataka mazezeta?....

''bongo muvi wamegeuka bunge muvi,haya kaeni tuangalie tamthiliya''



Aisee bonge la wimbo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom