Wimbo huu wa Papa Wemba...

Kuna tamasha moja la African festival Papa wemba akiimba wimbo wake wa Rail on ghafla akamuita Lokua kanza aje aimbe nae wimbo wake wa Rail on asee huyu Lokua aliimba kwa hisia kali very soulful hadi nikasema am I living under the rock or something mbona simjui huyu Lokua kanza?

Nataka kuweka hapa hiyo nafanyaje wadau mpate ladha ya mziki mtamu!?
 
Lokua kanza kuna tamasha moja kaimba na Papa wemba ngoma yake ya Rail on...aseee jamaa anajua saana huyu Lokua. Nataka kuiweka hapa hiyo kazi ila sifahamu namna ya kuweka ngoma hizo hapa. Nawekaje wadau?

ipo youtube?
 
Kuna tamasha moja la African festival Papa wemba akiimba wimbo wake wa Rail on ghafla akamuita Lokua kanza aje aimbe nae wimbo wake wa Rail on asee huyu Lokua aliimba kwa hisia kali very soulful hadi nikasema am I living under the rock or something mbona simjui huyu Lokua kanza?

Nataka kuweka hapa hiyo nafanyaje wadau mpate ladha ya mziki mtamu!?

Ni hii?...........(Anaanza kwa manjonjo dk ya 5 lakini wimbo hasa dk 8!) ...tamu sana!
 
Ni hii?...........(Anaanza kwa manjojo dk ya 5 lakini wimbo hasa dk 8!) ...tamu sana!

Mkuu ni huu bila shaka!! Nilimheshimu saana huyu Pascal Lokua kanza na kuanza kufuatilia kazi zake nyingi kupitia kipande hiki kidogo alichoitwa aimbe.

Kazi zake nimepakua kadhaa zikiwemo Mutoto,meur amor, si tu pairs, juste un de amor, Nakozonga, wapi yo, n.k hatari saana...!kiukweli naenjoy saana kusikia mziki mzuri wa mtu anaeimba kutoka rohoni kwa hisia zote pia ana binti yake anaitwa Malaika Lokua huyu binti nae anajua mpaka unaogopa!!
 
Na shooting za sauzi kila siku...wehu mtupu
Na mikelele ya ...Uhuru uhuru uhuruuuuu.....
Wakitoka hapo kichupa kwa godfather kwisha kazi, waambie wapige live uone utafikiri ni wimbo mpya sio ule wa studio.
Ukimpa gitaa au kinanda apige atakumind mwishowe anakuita hater...
 
UKIFA MAZURI YANAFUATA UKIWA HAI KAMWE HUTUONI MCHANGO WAKO

REST IN PEACE PAPA.
 
KUn
Na mikelele ya ...Uhuru uhuru uhuruuuuu.....
Wakitoka hapo kichupa kwa godfather kwisha kazi, waambie wapige live uone utafikiri ni wimbo mpya sio ule wa studio.
Ukimpa gitaa au kinanda apige atakumind mwishowe anakuita hater...
Taabu kabisa ndugu yangu.
 
Nazani pia kuna movie aliyocheza maisha yake miaka ya themanini ,pia aliunguka stejini,kama vile alitabiri kifo chake The Boss
 
Back
Top Bottom