wimbo huu wa CHADEMA Unakera sana

PYU

JF-Expert Member
Oct 3, 2012
201
42
Jumamosi nilikuwa kwenye uzinduzi wa kampeni za mgombea udiwani kata ya daraja mbili jijini Arusha, uliokuwa unaongozwa na makamanda wa nchi kavu,mbunge wetu kipenzi Godblees ambaye magamba awapendi hata kutaja jina lake,ambao wamempa rikizo fupi pasipo kujua kwamba makamanda hawanaga rikizo kipindi cha vita,kamanda Nassari naye alikuwa kwenye uwanja wa vita,
ndugu zangu kuna mambo mawili yaliyo nikera sana mimi binafsi
  1. ukosefu wa kadi kwa wanachama wapya mimi mwenyewe nilikuwa nahitaji kadi na niliwaendea viongozi wawili na wote walikosa majibu
  2. kupigwa kwa wimbo unaotumia tune ya wimbo ule wa mazishi ya baba wa taifa uliopingwa na kapteni mnene kuliko wote,,Kwangu ilikuwa ni mara ya kwanza kusikia wimbo ule,nimezoea ule wa chadema*3 peoples power, naqote baadhi ya maneno yale, KUWAAGA NDUGU ZETU MAFISADI,Kwanini hawa CDM wanaruhusu wimbo kama huo upigwe katika mikutano yao wakati wao ndio wanao ongoza vita vya kupambana na mafisadi,kama ujua baadhi ya maneno ya wimbo ule saidia kuukamilisha na kwa nguvu moja tuupinge___________________________________________________________________________CDM HATUNA UNDUGU NA MAFISADI
 
Kwahiyo ulitaka wawasifie mafisadi? Haiwezekani kufanya kitu ukawarithisha watu wote kwa wakati mmoja.

Kama umekukera vumilia kwasababu kunawengine wanaupenda
 
wimbo mtamu ni ule wa chadema*3 peoples power nikiusikia ule wimbo damu inachemka ile mbaya
 
Pole kamanda mtarajiwa, nadhani wamekusikia na utatimiziwa haki zako soon since hatuna ahadi za uongo.
 
Kwa maelezo haya, subiri wiki ijayo joti atakuja na epsode yake kopy and paste.
 
Pole sana ulikosa KADI? issue ya wimbo nadhani its a challenge Mkuu TUMAINI.Makene atatusaidia. binafsi sijausikila hiyo melody
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom