Wimbi la vibaka Muhimbili

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
wanandugu muhimbili sasa imekuwa chaka la vibaka,leo hii tukiwa tumekwenda kumuangalia binti mmoja amefanyiwa opareshen ya tumbo tukpaki pale kwenye parking za wodi ya wazazi,,gafla wakati tukirudi tulikuta watu wamezunguka gari moja kumbe jamaa kaibiwa laputopu,,na vyotee
vinavyochukuliwa..hamad baba mmoja akasema ngoja nikaangalie langu wakakuta wamenyofoa taa za nyuma,,,hamu ikaniishia nikasema mmmh nami ngoja niondoke kisirisiri,,loooooooohh
SETIMILA HIYOOOOOOOOOOOO
nikasema tuwe makini na pakini za muhimbili ukiuliza walinzi ati on ur own risk!!1jamani naomba muwe m,akiini
 
Last edited by a moderator:
Hawa ni wezi, nilivyoona majambazi nilidhani wameingia na bunduki kuchukua mabulungutu ya pesa kumbe si hivyo.
 
Kha,aliyeleta mada ameileta kama anataka kuibandika katika magazeti ya mchana(kwa bongo) maana hayo huwa yanaweza na heading kuubwa na ya kusisimua ila ukiisoma content ya habari yenyewe wala haiendani.
 
Ingekuwa gazeti la Udaku, tungesema anatafuta kuuza nakala nyingi iwezekanavyo!
 
wanandugu muhimbili sasa imekuwa chaka la vibaka,leo hii tukiwa tumekwenda kumuangalia binti mmoja amefanyiwa opareshen ya tumbo tukpaki pale kwenye parking za wodi ya wazazi,,gafla wakati tukirudi tulikuta watu wamezunguka gari moja kumbe jamaa kaibiwa laputopu,,na vyotee
vinavyochukuliwa..hamad baba mmoja akasema ngoja nikaangalie langu wakakuta wamenyofoa taa za nyuma,,,hamu ikaniishia nikasema mmmh nami ngoja niondoke kisirisiri,,loooooooohh
SETIMILA HIYOOOOOOOOOOOO
nikasema tuwe makini na pakini za muhimbili ukiuliza walinzi ati on ur own risk!!1jamani naomba muwe m,akiini

Kamateni mmoja piga kiberiti hadharani muone kama wataendelea na hako kamchezo.
 
Wizi huo pale muhimbili upo muda mrefu hata ofisini usipochukua tahadhari wanalamba laptop na vibegi vya kinamama pamoja na simu; pale unajua kuna taasisi kubwa tatu, yaani Muhimbili hospitali, Chuo kikuu cha Muhimbili na Taasisi ya mifupa ya Moi, Kwa muktadha huo unaonana kabisa kuwa ni eneo la kistarategia kwa vibaka na wezi.
 
Wezi wa pale wote wanajulikana.

Tatizo lipo kwa uongozi kuchukua hatua kama raia wanaibiwa na malalamiko yanafikishwa sehemu husika lakini hakuna utekelezaji lazima tuamini kuwa vibaka hao wanakula na uongozi wa maeneo husika wezi wanajulikana kabisa na wapo pale kila siku..
 
Ndugu yangu tukikuomba ueleze kauli yako una maana gani usije kulia kama mheshimiwa...

Siwezi kulia wala kuomba radha kwa maana namaanisha, habari ndio hiyo. mitaa mingi wizi umekomeshwa kwa njia hiyo.
 
Hayo ni ya Buguruni Malapa ambapo palishapewa jina la ndafu kwa kukithiri wezi kuchomwa na sasa kumetulia japo upo mdogomdogo sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom