Wimbi la mabadilliko nchini linatia moyo

Tenths

Senior Member
Mar 2, 2010
111
45
Nipo pembezoni mwa maeneo ya miji katika wilaya ya Maswa. Hali ni kuwa, iwe wazee, vijana yaani; makundi yote ndani ya jamii yanaonekana kukubaliana na mabadiliko yanayoendelea kutokea nchini.
 
Back
Top Bottom