Wimbi jipya la wizi na ujambazi Mwanza

PRISCUS JR

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
448
236
Siku za hivi karibu kumeibuka wizi na ujambazi katika jiji la Mwanza, hali hii imekuwa sugu maeneo ya Malimbe Nyegezi, Kitangiri,Kilimahewa na sehemu mbalimbali za jiji. Yameripotiwa matukio mengi ya wizi, mfano juzi huko kilimahewa, wezi walivunja duka la vipodozi la bwana Thobias na kuiba mali yote, usiku wa kuamkia jana ilisikika milio ya risasi katikati ya mji pila mpaka sasa hakuna ripoti ya milio hiyo. jumatatu ya wiki hii mama m1 maeneo ya kitangiri aliibiwa vyereani na nguo mchana, hali inatisha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom