Wilson Mukama: Public and Private Profile

Kuna baya zaidi ambalo halijatajwa hapa jf na labda lilisahaulika kwa ubaya wake.
Akiwa Mkurugenzi wa jiji ndo pia kulikuwa na mgogoro mkubwa wa Mwembechai, ule wakati wa vuguvugu la waislamu. Nadhani alikuwa amevutwa sana na hakuwa na solution. Moja na meno yake ilikuwa kwamba;

"Nyie watu na kitabu chenu hicho, mutainama sana!" Kitabu alimaanisha Korani tukufu. Haya waislamu tuseme kabadilika?

Kwa hyo makamba aliwafaa sana? Duu.
 
This guy seems to be better off makamba and many more withn CCM,kwa hili nakupa tano JK.Dhamira njema.
 
anaonekana ni mtu wa kuongea sana kuliko vitendo..hii ni hulka ya rais wetu pia,maneno matamu lakini utekelezaji zero kwa mantiki hii sitarajii chochote kipya..
 
Sijaona point katika maelezo yako,inwezekana kuna sehemu alikosea katika uongozi wake lakini hujaweza kujenga hoja,umekurupuka..
Ila all in all CCM wataanguka tu hata wamtupie nani pale kati...wamezoea kulindwa sana na dola ila mpasuko wa ndani ya chama hauwezi kulindwa na dola...ila gud shot for them...huyu jamaa hajulikani kwa kashifa so wapinzani inabidi tujipange..
 
Very objective thread... Hii JF inatia kichefuchefu wakati mwingine.. Sasa hii ni profile ama horse sh!t? Yani sijui watu wengine vipi, watu wanakuja humu kupata uchambuzi makini na pande zote za mambo yanayo jiri, wengine wako mbali na matukio yanayotokea Tanzania alafu kuna mijitu inafikiri watu wanafwata propaganda za CDM au ubwabwajaji tuu wa maji taka.. Inaudhi.. Kama huwezi kutoa properly sourced objective analysis, shut the hell up!
 
Hivi hiki chama hakina vijana wanaoeza kufanya hiyo kazi mpaka wapewe wazee tu. Haijawahi kutokea ndani ya CCM hizo nafasi za huko juu kushikwa na vijana.
 
Article from his days in DCC:
"Plans outlined for Dar’s facelift

By Timothy Kitundu
The Bus Rapid Transit (BRT) project has taken off, following the signing of a contract last week between the Dare es Salaam City Council (DCC) and M/S Logit Engenharia Consultiva Ltd. of Brazil in association with Inter-Consult Tanzania.
The two consultancy firms will undertake a long-term conceptual design and detailed design of an initial corridor. The construction phase of the project will start shortly after the ten-month preliminary stage.
According to DCC Director Wilson Mukama, the BRT system which is being undertaken by the Dar es Salaam Rapid Transit (DART) Project will have in place by August 2005 a demonstration BRT station and a BRT prototype bus, at Manzese area along the proposed 13 km road stretch.
According to Mukama, the DCC opted for the BRT system after making intensive assessment, and discovering that it was more viable and easier to run compared to other systems such as trams and metros.
“The 200 passenger capacity buses would greatly reduce traffic congestion and environmental pollution at the city centre, as opposed to the present situation whereby over 7,000 commuter buses operate in the city,” he said.
In terms of infrastructure, Mukama said that the DART project will take advantage of the existing major roads namely Morogoro road, Mandela Expressway, Nyerere Road, Ali Hassan Mwinyi and Kilwa Road.
Earlier in his presentation of the BRT system, former mayor of Bogotá Enrique Penalosa said that Dar es Salaam will be transformed into a city for people and not a city for cars and that one of the challenges of the project will be restricting the use of private cars at the city centre.
“BRT will also aim at creating and putting emphasis on an environment for people and not for cars as what is being introduced (BRT) is not a transport system per se but rather a city model,” Penalosa said.
According to Penalosa, Tanzania is endowed with vast tourist attractions such as waterfronts which could have attracted more tourists in the country had the appropriate infrastructure been put in place – these are pedestrians streets and cycle-tracks.
“Almost all open spaces seem to be reserved for cars but tourists like to walk,” he said.
Citing an example, Penalosa said, restricting the use of private cars at Dar es Salaam’s city centre won’t be new – because in Zurich, Europe’s wealthiest city, 60 per cent of its residents use public transport while 20 per cent walk or use bikes.
In terms of traffic jams he said, in Bogotá for example, to ease congestion 20 per cent of those using public transport (BRT) are car owners.
The giant project is being jointly funded by the World Bank, Global Environmental Facility (GEF), the central government and the DCC which has set aside some Tsh. 150 million for the project. Each municipal council will pay Tsh. 50 million."
 
Atleast anaonekana ni msomi, huwezi kumweka in the same class na makamba a.k.a darasa la 7 la mkoloni.
 
How about the comments concerning the following:

"The Tanzanian government has come under intense pressure from the public, activists and the media to explain why it was quietly recovering money that was misappropriated under the External Payment Arrears (EPA) account operated by Bank of Tanzania (BOT), the country’s central bank"
EPA Scandal: Recover the Loot, just don't Prosecute? « Tanzanian Common Cents

"Arms company BAE Systems today pleaded guilty at the City of Westminster magistrates court in London to minor charges of false accounting relating to its controversial sale of military radar equipment to Tanzania in 1999. The sale has been surrounded by allegations of corruption.
BAE and the Serious Fraud Office (SFO), which was investigating the corruption allegations, announced in February 2010 that they had reached a “plea bargain” settlement under which BAE would plead guilty to the accounting misdemeanours"

BAE pleads guilty to minor accounting offence in Tanzania radar scandal | The Corner House

"Revelations from the WikiLeaks cables that anti-graft czar Edward Hosea had received death threats opened a rare window into Tanzania's growing struggle against corruption in the government. According to cables written by American diplomats in Tanzania, Mr Hosea confided in US diplomats in Tanzania that he had received threatening text messages and letters "and was reminded everyday that he was fighting the rich and powerful."
allAfrica.com: Tanzania: Wikileaks Revelations Open a Window on Worsening Graft Problem

It has been three weeks since the devastating bomb explosions at the Gongo la Mboto Military Base munitions storage area. The explosions led to the deaths of more than 20 people and injured hundreds more. Thousands were displaced and hundreds of children were separated from their families. Since then, government ministries, non-governmental organisations, hospitals and communities have come together to help heal the wounds of those who were injured.

"Local hospitals were completely overwhelmed by the required need for urgent support. The hospitals suffered greatly from depletion of supplies in the face of such an emergency. However, local and international community members came together to provide blood donations and other materials for the victims"
ReliefWeb » Document » Tanzania: AMREF's Response to the Gongo la Mboto Military Base Explosions

My questions is this, Where has this joker been all along? Just another face on the same book cover.
 
More articles abt Mukama:
"Viongozi waliohujumu mradi wa maji kuadhibiwa



na Hamida Khalid, Hanang'




KATIBU Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Wilson Mukama, ameagiza viongozi wa Kijiji cha Balangalalu waliohujumu mradi wa maji kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Mukama alitoa agizo hilo mwishoni mwa wiki alipokuwa kwenye kijiji hicho kwa ajili ya kupokea miradi iliyokuwa ikiendeshwa na Shirika la Adventist Development and Relief Agency (ADRA).

Mukama ambaye alimwakilisha waziri wa wizara hiyo, Profesa David Mwakyusa, kupokea mradi huo, alitoa agizo hilo baada ya kupokea taarifa kuwa kuna viongozi wamekula fedha za mradi huo.

Taarifa iliyotolewa na mratibu wa mradi huo, ilieleza viongozi wa kijiji hicho wamekula fedha, hali iliyosababisha mashine ya kusukuma maji waliyoifunga kushindwa kufanya kazi, hivyo wananchi kukosa maji salama.

Kutokana na hali hiyo, katibu mkuu huyo aliwataka wananchi wa eneo hilo kuelewa kuwa haifai kudai haki bila kutimiza wajibu wao kwa kulinda miradi waliyowekewa na wafadhili.

Aidha, aliutaka uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang` kutafuta chanzo kingine cha mapato badala ya kuinyang'anya hospitali ya wilaya hiyo mnara wa kampuni ya simu ambao ungewasaidia kupata fedha.

Mukama alieleza kushangazwa na halmashauri hiyo kuchukua mnara huo wa simu ambao uko eneo la hospitali na kuufanya chanzo chake cha mapato, jambo ambalo limekuwa likikwamisha jitihada za hospitali hiyo kumaliza matatizo madogo madogo.

Akiwa kwenye hospitali hiyo ya Tumaini wilayani Hanang', Mukama alielezwa inakabiliwa na ukosefu wa wodi ya wagonjwa mahututi na ile ya magonjwa ya kuambukiza.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Hanang', Geofrey Ngatuni, alitoa muda wa mwezi mmoja kwa uongozi wa kijiji hicho kuhakikisha huduma ya maji inapatikana.

"Natoa muda wa mwezi mmoja kwa uongozi wa kijiji na tarafa mashine isukume maji tena kwa umeme, na pia nipate taarifa…ni aibu kabla ya wafadhili hawajaondoka miradi inaanza kuhujumiwa," alisema Ngatuni"
 
So far I see nothing to discredit the guy, because even the one who has tried to analyse him on the side of his failures he has been outshined by Mukama's success/ways of looking at issues. Nice try by the way Mr/Mrs SLIDINGROOF.
 
On my part, simjui sana but the little I know of him, (mainly from political compaigns last year) the guy IS smart up stares. Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Inaonekana amesoma vizuri enzi za mkoloni (haja kariri) na anaweza kabisa kusoma alama za nyakati na kuleta mageuzi ya msingi. He is a man to watch towards 2015 in terms of reconstruction of CCM's social and political landscape. Hiyo analysis hapo juu haina mashiko kabisa. Sitaki kusema aliye ileta katumwa but something closer to that may be true.
 
Back
Top Bottom