Wilson Mukama: Public and Private Profile

Mmh hapo hoja zako mbona zinaonekana kushindwa kuvunja nguvu hoja za home boy wangu? Well I dont know him insuch lakini kwa ulivyo mquote na wewe kuishia kushindwa kuzishinda hoja zake kwa hoja basi mi acha nimpe benefit of doubt japo hii kwake kuwa katibu mkuu hakuwezi kuisaidia kupunguza mwendo wa CCM kuwa chama cha upinzani.

Kuna baya zaidi ambalo halijatajwa hapa jf na labda lilisahaulika kwa ubaya wake.
Akiwa Mkurugenzi wa jiji ndo pia kulikuwa na mgogoro mkubwa wa Mwembechai, ule wakati wa vuguvugu la waislamu. Nadhani alikuwa amevutwa sana na hakuwa na solution. Moja ya maneno yake ilikuwa kwamba;

"Nyie watu na kitabu chenu hicho, mutainama sana!" Kitabu alimaanisha Korani tukufu. Haya waislamu tuseme kabadilika?
 
Analysis nilianza kuiona ya maana lakini nilipofika kipengele unachodai eti wakati wa ukurugenzi wa Mukama Jiji lilikuwa chafu zaidi ya ilivyokuwa awali nimekosa hamu ya kuendelea. Inavyoonekana wewe umetumwa umchafue Mukama. Lakini ni vizuri utambue kuwa wakati wa uongozi wa Mukama na Keenja ndipo wananchi tulipoanza kushuhudia Jiji likiwa safi tofauti na ilivyokuwa awali wakati wa akina Kitwana Kondo. Tatizo la humu JF ni watu kama ninyi. Mna-post mawazo yenu bila kuwa na hata robo ya data. Matokeo yake mnaharibu hata hadhi ya JF. Najua Mukama ana mapungufu yake kama binadamu lakini siyo kwa kiwango unachotaka watu waamini.

huyu mukama ni kilaza kuliko unavyofikiria wewe
 
mi sioni sababu ya kumchambua mukama,kafanya lipi kashindwa wapi la msingi hapa cdm wakaze buti,mtu mwenyewe mwepesi kama bua, hivyo2015 mambo safiiii
 
anaweza kuwa ana mapungufu yake, lakini comment ulizo weka hapa zinaonyesha ni mtu mwenye uelewa,

mi nimerudia kusoma mara mbili mbili nikafikiri tatizo kimombo.
Kwa mfano aliposema vijana wawe encouraged kukaa vijijini ila huko huduma za kijamii nazo ziwepo; huyu mtoa mada kwa tafsiri yake anasema mukama amewalazimisha vijana waishi vijijini wakati watu wana uhuru wa kuishi popote. Hivi unapomuencourage mtu ndio umemforce?!
Kama nia yake ni kuleta profile chafu atafute nyingine. Wengine hatumjui huyo Mukama kwahiyo hapa tunapima uzito wa hoja unaoletwa.
Nawasilisha.
 
Kuna baya zaidi ambalo halijatajwa hapa jf na labda lilisahaulika kwa ubaya wake.
Akiwa Mkurugenzi wa jiji ndo pia kulikuwa na mgogoro mkubwa wa Mwembechai, ule wakati wa vuguvugu la waislamu. Nadhani alikuwa amevutwa sana na hakuwa na solution. Moja na meno yake ilikuwa kwamba;

"Nyie watu na kitabu chenu hicho, mutainama sana!" Kitabu alimaanisha Korani tukufu. Haya waislamu tuseme kabadilika?
Imefika huku tena...
 
nchi imeuzwaaaaaaaaaa//////.................................................................ngoja nivute shuka nilale

Pasco_jr_ngumi,

1. Imeuzwa Shilingi ngapi?
2. Nani ameinunua?
3. Nani ameiuza?
4. Wakati inauzwa ulikuwepo ndani ya nchi, kama ndiyo hauogopi unakwenda kulala na kijifunika na shuka wakati umeshauzwa?
 
02_11_hvcj74.jpg



Naam in continuing with our tradition ya KU RECYCLE WATAWALA this time tumeletewa huyu jamaa ambaye if anything

-Alikuwa mstari wa Mbele kuwatisha Madaktari walipogoma Muhimbili. By then alikuwa ni Permanent Secretary wizara ya afya. Badala ya kutafuta njia ya maana ya kutatua ule mgogoro he was busy devising brutal methods za kuuzima ule mgomo badala ya kuangalia njia mbadala.



-Alipokuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar hakuna lolote la maana alilolifanya ambalo tunaweza kusema kuwa lili kuwa ni major achievement zaidi ya kuwa the City was more dirtier, unsafe and disorganised than ever. Traffic police wakapewa kazi za kudumu kuongoza magari badala ya kutengeneza taa za kuongeza magari. Waliofanya naye kazi kule jiji wanasema kuwa huyu bwana if anything ali alienated a lot of people (direct and indirect) not necessarily with his policies, but with his undisguised belief kama alivyokuwa Keenja that Dar belonged to him. Bwana Mukama alisahau kuwa he was there to serve wana Dar lakini instead treated jiji like his fiefdom.

Mtakaosema kuwa namwonea lakini lets face it yeye mwenyewe aliwahi kusema hivi alipokuwa City Director:

"I want to see a much more livable Dares Salaam -- in terms of security, of course, but especially in terms of affordability".....a much more planned Dares Salaam" would eventually lead to "a much more manageable", "much cleaner" and "much safer" city.


The truth ni kuwa what we got from him was the opposite

Na kwa kuonyesha kuwa he is out of touch hebu soma solution yake kuhusu vijana wanaotafuta rizki Dar:

"of course, we have to address the causes underlying rural problems. We have to encourage the youth to stay in the rural areas so that there is less migration to Dares Salaam. But that means that there must be viable economic activities to sustain them there--cash crops, good living conditions and availability of services, for which they normally come to town, such as education, health and the provision of safe water. The temptation to move will ease if these services are made available within our rural areas and if the people there have some gainful economic activities--they produce their crops and they sell them.


Typical response from out of touch City Director ambaye kasahau kuwa its basic human right ya Mtanzania kuishi kokote kule atakako Tanzania without interference from people like MUKAMA.

Anazungumzia kupeleka huduma vijijini lakini nani kamwambia kuwa kila kijana anataka kuishi kijijini? au kila kijana anataka kuwa mkulima? dont worry, haya ndio mawazo na mentality ya MUKAMA juu ya vijana ...wakae vijijini wawe wakulima. Cha ajabu wanawe hawaishi vijijini.

[U]MUKAMA THE RACIST[/U]:

Showing out of touch na jiji la Dar Mukama anaendelea kuwatuhumu vijana toka mikoa ya kusini kujaza jiji la Dar bila any supporting data or any facts kwa kudai kuwa:

"Most of these young men, who peddle goods on the road, are from the South."

really? Kama anazungumzia Immigration caps to Dar why single out vijana from Kusini?

MUKAMA THE OUT OF TOUCH:

Huyu bwana anajisifia alivyotumia pesa za walipa kodi kwenda kwenye mikutano ya kimatafaifa kwa kusema hivi:

In my one year as City Director of the City Council of Dar es Salaam, I have benefited from attending a number of international conferences. Some of the best practices discussed at these conferences have contributed immensely to my understanding of the ways local authorities around the world are getting the people involved, especially in the area of governance.

Ukweli ni kuwa local authorities Dar chini yake hazikuwa involved kwenye chohcote kile. Mfano chini yake leseni za Bar zimetolewa kama uyoga bila kuzingatia sheria za serikali za mitaa ( msisahau alishawahi kuwa TAMISEMI) ambazo ziko very strict on eneo la mraba na time ambazo hizi bar zinatakiwa kufunguliwa. Maoni ya wananchi waliopo eneo lile, issues za afya na biala kusahau wagonjwa na watoto..mfano mzuri chini ya uongozi wake eneo lilalo zunguka hospitali za Mwananyamala na Ilala zimekuwa na Baaa nyingi ambazo zinapiga makelele za miziki mpaka saa 9 usiku bila kuzingatia wagonjwa na watoto ambao wanatakiwa kwenda kusoma kesho yake.

Sasa whats the point of kujisifia kwenda kusoma halafu kakuna faida ya hiyo misafara?

KUHUSU DAR

Mukama the Walter Mitty Character anasema hivi:

"I want to see a much more livable Dar es Salaam--in terms of security, of course, but especially in terms of affordability. A city, in other words, where people have a good income and can afford to pay for the various services available to them--housing, transport, recreation areas. We plan to carry out an urban renewal in some areas, because if we don't have enough open spaces, our city won't be able to breathe and will choke. We are attempting to make our beaches safe and clean so that people can relax there. They should not just always spend their free time inside their houses because they have no better choice. We need more open spaces, with more gardens, recreational parks."


Sina haja ya kusema mengi kuhusu hili kwani kila mtu anajua what we got in return.


Baadae ntarudi na mengine

Lakini in short this is another incompetent propagandist aliyeteuliwa ambaye hana jipya...infact amekuwa RECYCLED like the other lot

source ya majisifa aliyojipa Mukama iko hapa:

'A Much More Livable Dar Es Salaam': Sustainable Urban Development. Magazine Title: UN Chronicle. Volume: 38. Issue: 1. Publication Date: March-May 2001. Page Number: 24+. COPYRIGHT 2001 United Nations Publications




Naona umeandika vizuri sana , mimi binafsi simjui vizuri Mukama na nashukuru kwa ujumbe wako,ila kucomment kwa ujuzi wangu hapo kwenye MUKAMA THE RACIST ni bora ungetuamia kiswahili ungeeleweka vizuri tu, kubagua watu kwa ukanda, kabila; dini au lugha si racism kama unavyodai. Ili kuweka sawa kumbukumbu RACIAL DISCRIMINATION na ETHNIC DISCRIMINATION ni vitu viwili tofauti. Racism unahusiana zaidi na Ubaguzi wa ngozi (Phenotypical features). Sasa hiyo ya ubaguzi wa Machinga inaweza kuwa ni Ethnic au Regional Discrimination na sio Racial Discrimination. Ungetwambia alikuwa anabagua wahindi au waarabu ndio labda ndio ungekuwa sawa mheshimiwa kwa terminology yako
 
Back
Top Bottom