Wilson Mukama awa katibu Mkuu mpya CCM na CC Mpya

Mwigulu Mchemba??? Profile plz

Huyu amemaliza masters yake ya uchumi hapo UDSM mwaka 2006 na amefanya kazi benki kuu toka hiyo 2006 mpaka mwaka jana alipoamua kuacha kazi na kwenda kugombea ubunge kwao huko Iramba Magharibi. Ni class mate wangu nimesoma naye hapo udsm, undergraduate na masters degree. Ni mchapa kazi sana sasa sijui system ya chama tawala itambadilisha au vipi, otherwise he is a good guy, ni kiongozi mzuri!
 
Jamani tuwe objective kidogo, hapa CCM wamepiga bao kiaina. Kumweka Nape na January kwenye Sekretarieti (sp) wamepata hazina ya vijana wa kidotcom ambayo ni upgrade mara 50 ya iliyopita. Kama Nape na January wakiamua kufanya kazi kwa mapenzi ya nchi, na January akawaweka pembeni hao kina RA & EL, itasaidia sana.

Tuwape pongezi vijana wenzetu wanapopata nafasi, then uko mbele tutawajudge namna watakavyoact.

Hongera sana January na Nape.

Inaonekana na Mwigulu Mchemba, naye ni kijana mwenzetu. Hongera Mwigulu na wewe, tunawatakia mafanikio mema.

Msimamo mnaotakiwa kusimamia ni very simple, Maslahi ya walalahoi yawe mbele siku zote na mafisadi wapingwe hata kama waliwasaidia uko nyuma kipesa.
 
Mwigulu Mchemba??? Profile plz

Mwigulu Mchemba, headboy Ilboru Sekondari. Mbunge Tabora. Worked at BoT. The rest his close buddies will provide. But all Iborians mid 1990's remember him....at last! True Colours. Colours True
 
Mkuu mbona sioni gamba walilovua? Au Gamba alikuwa Makamba? Mbona Makamba ametoka na kuingia? CCM hata wakivua gamba bado wanabaki na sumu tu kwani nyoka akivua gamba huwa haitoi sumu aliyonayo na CCM halikadhalika!!

Kusema kweli hilo gamba wala halitunyimi usingizi, balaa ni sumu yake huyo nyoka ccm.
 
Jamani tuwe objective kidogo, hapa CCM wamepiga bao kiaina. Kumweka Nape na January kwenye Sekretarieti (sp) wamepata hazina ya vijana wa kidotcom ambayo ni upgrade mara 50 ya iliyopita. Kama Nape na January wakiamua kufanya kazi kwa mapenzi ya nchi, na January akawaweka pembeni hao kina RA & EL, itasaidia sana.

Tuwape pongezi vijana wenzetu wanapopata nafasi, then uko mbele tutawajudge namna watakavyoact.

Hongera sana January na Nape.

Huyu ni mwizi LOWASA Na RA ndo wamemuweka hapo

TEGEMEA MAAGIZO TOKA KWA LOWASSA NA RA
 
Naam sasa hii naikubali kabisa. Mchanganyiko kati ya vijana na wazee na wapya na wazamani kidogo. Kilichobaki kwetu CCM kushirikiana na Rais wetu, katika haya:

1. Tuwe wazi katika majadiliano ya marekebisho ya Katiba bila jaziba wala vizuizi kwa wananchi na tuwe na hoja.

2. Tukae mbali kabisa wote wenye tuhuma za ufisadi na tusifanye kosa kuanza kufikiria Rais wa ajaye ambaye ana tuhuma yeyote ya ufisadi hiyo itakuwa ni kujimaliza kabisa! Na wale wanaothibitika wafikishwe mahakamani moja kwa moja bila kujali walikuwa ni akina nani wako CCM, CHADEMA, CUF n.k

3. Swala la Dowans tuachane nalo kabisa kwa kutolipa hata senti

4. Rais pitia safu ya watendaji wakuu Wizarani, Idarani, Tasisi za umma na ikibidi kama itakavyofaa fanya mabadiliko itakavyostahili kwa kuweka watu wanaokubalika, watu wanaojituma, watu wasio na tuhuma za ubadhilifu watu wasiotishwa na phobia au ushabiki wa udini bali wanaojali zaidi uzalendo wa nchi yetu.

5. Hatuna haja ya kukimbizana na kuzuia maandamano wala speech za watu majukwaani (tunawapa umaarufu wa bure) wacha waseme na sisi tuingie katika kuboresha maisha na tutasema majukwaani pia.

Tuangalie nje ya 'box'; wako wana CCM wenye sifa nzuri kibao huko mikoani. Tusingángánie majina ya watu yanayofahamika katika Chama. Aidha hilo ni sehemu ya mambo yayowakera wengine na kufikiri kuwa Chama kina wenyewe fulani wachache.

Kila la kheri, nimeanza kupangusa vumbi ya kadi yangu na kuchapa mzigo wa kuongeza uzalishaji nchini kwetu.
 
Huyu amemaliza masters yake ya uchumi hapo UDSM mwaka 2006 na amefanya kazi benki kuu toka hiyo 2006 mpaka mwaka jana alipoamua kuacha kazi na kwenda kugombea ubunge kwao huko Iramba Magharibi. Ni class mate wangu nimesoma naye hapo udsm, undergraduate na masters degree. Ni mchapa kazi sana sasa sijui system ya chama tawala itambadilisha au vipi, otherwise he is a good guy, ni kiongozi mzuri!
Uko sahihi, Mwigulu ni kijana mchapakazi nami nilisoma naye japo alishinda kwa kuchakachua na hila nyingi sana ila ndiyo hivyo tena ushindi ni ushindi tu. Anatosha kwenye nafasi hiyo
 
Huku kuuma na kupuliza ndio kunakoiharibu CCM. January makamba anapaa kwa kasi ya rocket? Kafanya muujiza gani? ataweza haya majukumu yote? au ndio kumuachia ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe? au kumpoza mzee anayeondoka? Chama kinapokuwa namna hii lazima uulize maswali! Akiondoka baba, mtoto anachukua nafasi, akiingia anatengeneza nafasi za watoto wake! Any way, wote tuna haki, ila naona haki za wengine kama zimezidi. CCM haina vijana wengine wenye uwezo? au ndio mtindo wa chiefdom. Son of chief, grandson of chief, chief chief!
Hehe CCm ina wenyewe na wenyewe ndio hao wanarithi kutoka kwa baba zao,orodha ni ndefu akina Nchimbi,Hussein Mwinyi,Vita kawawa na dada yake,makongoro,Nape,january ,Ridwani,Miraji,Malima,lowasa ,du mkono umechoka ngoja nilale
 
Jamani tuwe objective kidogo, hapa CCM wamepiga bao kiaina. Kumweka Nape na January kwenye Sekretarieti (sp) wamepata hazina ya vijana wa kidotcom ambayo ni upgrade mara 50 ya iliyopita. Kama Nape na January wakiamua kufanya kazi kwa mapenzi ya nchi, na January akawaweka pembeni hao kina RA & EL, itasaidia sana.

Tuwape pongezi vijana wenzetu wanapopata nafasi, then uko mbele tutawajudge namna watakavyoact.

Hongera sana January na Nape.

Inaonekana na Mwigulu Mchemba, naye ni kijana mwenzetu. Hongera Mwigulu na wewe, tunawatakia mafanikio mema.

Msimamo mnaotakiwa kusimamia ni very simple, Maslahi ya walalahoi yawe mbele siku zote na mafisadi wapingwe hata kama waliwasaidia uko nyuma kipesa.
January amweke pembeni RA? unaota mchana mchana hujui ukoo wa Makamba mwajiri wao mkuu ni nani.
 
Habari zinazoletwa na ka-nzi kutoka Dodoma baada ya kutulia na kufuatilia toka ndani kabisa zinadokeza kwa uhakika mkubwa ...

Katibu Mkuu mpya wa CCM ni W. Mukama kama ilivyoripotiwa awali
Naibu Katibu Mkuu (bara) - John Chiligati (mwanzoni ilitajwa ni Kinana)
Mambo ya Nje (kamati ya CCM) - January Makamba (akichukua nafasi ya Ben Membe)
Itikadi na Uenezi - Nape (kama ilivyoripotiwa)
kama hvyo ndivyo then ccm kweli imepania kuleta mabadiliko na upinzani ikiwemo chadema ukae chonjo,agenda zao zinaanza kufanyiwa kazi..si ajabu kuwa kama n2r
 
Mbona N/Katibu Mkuu - Zanzibar hanuswi? Au kwa Zanzibar hakuna shida? Au Zanzibar wamejitoa na kuunda CCM yao? Ka-Inzi tuna nina kiu rukaruka haraka utuletee khabari kabla hatujaenda kazini

naibu znb ni vuai ali vuai! ??Mbarawa, Omar Yussuf Seif Khatib Samia Maua Daftari CC, Nahodha na Hussein Mwinyi
 
Back
Top Bottom