Wilson Mukama awa katibu Mkuu mpya CCM na CC Mpya

Huku kuuma na kupuliza ndio kunakoiharibu CCM. January makamba anapaa kwa kasi ya rocket? Kafanya muujiza gani? ataweza haya majukumu yote? au ndio kumuachia ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe? au kumpoza mzee anayeondoka? Chama kinapokuwa namna hii lazima uulize maswali! Akiondoka baba, mtoto anachukua nafasi, akiingia anatengeneza nafasi za watoto wake! Any way, wote tuna haki, ila naona haki za wengine kama zimezidi. CCM haina vijana wengine wenye uwezo? au ndio mtindo wa chiefdom. Son of chief, grandson of chief, chief chief!
 
Mimi nasema hapana....wengi ya waliotolewa mimi naweza kusema ni vifisadi dagaa....vp kuhusu RA,EL,AC,JK nk...hawa ndio walitakiwa watoke kwanza....
 
Nilishaambiwa mwongo; nimeamua kutulia tu

Mimi nikiona thread yako najua ni kitu cha ukweli au chenye uzito. Ujue hapa unawapainzani wa thread. Usiwape nafasi wakushinde kiraisi hivyo kwa kukukatisha tamaa. Mimi bado nakuamini usiyeonekana. Shusha vitu kwanza huwa unaadika Tetesi, nani asiyejua maana ya tetesi. Tetesi inaweza kuwa kweli au la.
 
Habari zinazoletwa na ka-nzi kutoka Dodoma baada ya kutulia na kufuatilia toka ndani kabisa zinadokeza kwa uhakika mkubwa ...

Katibu Mkuu mpya wa CCM ni W. Mukama kama ilivyoripotiwa awali
Naibu Katibu Mkuu (bara) - John Chiligati (mwanzoni ilitajwa ni Kinana)
Mambo ya Nje (kamati ya CCM) - January Makamba (akichukua nafasi ya Ben Membe)
Itikadi na Uenezi - Nape (kama ilivyoripotiwa)
Uchumi na Fedha - Mwigulu Mchemba (nadhani hii iliripotiwa kuwa ni Zakia Meghji).

... stay tuned... (I'll be updating as ka-nzi kanafanya kazi yake)..Press Conference itakuwa underway muda si mrefu... we are monitoring..

Mbona N/Katibu Mkuu - Zanzibar hanuswi? Au kwa Zanzibar hakuna shida? Au Zanzibar wamejitoa na kuunda CCM yao? Ka-Inzi tuna nina kiu rukaruka haraka utuletee khabari kabla hatujaenda kazini
 
Mkuu mbona sioni gamba walilovua? Au Gamba alikuwa Makamba? Mbona Makamba ametoka na kuingia? CCM hata wakivua gamba bado wanabaki na sumu tu kwani nyoka akivua gamba huwa haitoi sumu aliyonayo na CCM halikadhalika!!
wataenda kooooteee wataendelea kula matapishi yao yaani oldies styles zenye mawazo mgando. Katibu mkuu angekuwa mwakyembe pamoja na fisadi mkono just to keep him on the game you know!!!!!! all are heroes who got captured by mental slave
 
Mbona Ridhiwani kakosekana - jamaa anaona noma kumweka mwanae - anaishia kuwaweka watoto wa maswahiba! Au ndio ahadi ya uwaziri aliyoitoa kwa Januari! Kweli gamba limevuka (makambo mkubwa to makamba mdogo) - lakini mtoto wa nyoka ni nyoka mbona?
 
January sasa ataanza kufungua matawi ya CCM all over the world na kuchagua mabalozi.
 
Thanks MM! Katume tena hako kanzi katutolee issues huku nje. wataendelea tu kubadili for weeks!
 
Mitanzania bwana, ni midanganyika kila wakati. Eti imeridhika, Makamba Kapigwa chini then Januari Makamba kaula. Hii ni nini? wenye akili mbona tumeshachukua position?
 
Let me give them the benefit of doubt until they are done with the Shedding process!

Kujiuzulu kwa Sekretarieti na CC labda kutafuatiwa na kujiuzulu kwa NEC na hapo labda MAFISADI watakuwa wemeonyeshwa mlango wa kutokea!
 
Mitanzania bwana, ni midanganyika kila wakati. Eti imeridhika, Makamba Kapigwa chini then Januari Makamba kaula. Hii ni nini? wenye akili mbona tumeshachukua position?

hapo ndo ujue kuwa CCM imeoza ndo inakufa kama mende hivyo
 
Habari zinazoletwa na ka-nzi kutoka Dodoma baada ya kutulia na kufuatilia toka ndani kabisa zinadokeza kwa uhakika mkubwa ...

Katibu Mkuu mpya wa CCM ni W. Mukama kama ilivyoripotiwa awali
Naibu Katibu Mkuu (bara) - John Chiligati (mwanzoni ilitajwa ni Kinana)
Mambo ya Nje (kamati ya CCM) - January Makamba (akichukua nafasi ya Ben Membe)
Itikadi na Uenezi - Nape (kama ilivyoripotiwa)
Uchumi na Fedha - Mwigulu Mchemba (nadhani hii iliripotiwa kuwa ni Zakia Meghji).

... stay tuned... (I'll be updating as ka-nzi kanafanya kazi yake)..Press Conference itakuwa underway muda si mrefu... we are monitoring..
January alishamalizana na Lisa Rockeffeller nasikia ukoo wa Rockeffeller uliapa kuichongea serikali ya Kikwete kwa US Secretary endapo January angechaguliwa kuwa waziri sasa nafikiri bifu litaigeukia CCM.
 
Back
Top Bottom